Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,511
- 14,230
kama mimi mkuu nimeishia pale kwa nyumba ya wagogoMkuu inalolisema ni kweli.baada ya kulipia kule nje nikajisogeza kwenye banda la maliasili kujionea kinachoendelea nilipoona lango la kuelekea banda la wanyama walio hai nikaambiwa lazima nilipie tena mweeee nikaishia kwenye nyumba za wagogo kisha huyooo kwa mrisho mpoto.
Unaongea sabasaba ya enzi hizo hakuna mall yoyote nchini, mall yetu watz ilikuwa sabasaba na nane nane, hivi Kuna mlimani city, quality center, pugu mall etc, niende sabasaba kufuata kipi kipyaMi nakumbuka zamani sabasaba watu wazima wanaenda usiku
bar zote za ndani mule hushindana kuuza..
leo sabasaba saa mbili usiku nje kumepooza kama hakuna maonesho
sad
I tell it as it is.Ukiwa kama mtiifu na mwandamizi unaionaje hali hii? Au bado tupo kwenye miwani ya mbao?
Vyote vitadanganya ila namba hazidanganyi......
Mkuu pengine hunifahamu vilivyo, I call a spade a spade na sijipendekezi.Huyu chizi kumbe
watu wakisema Magufuli kaharibu uchumi humu anawarukia kwa matusi
sasa yeye mwenyewe leo anakubali hali ni mbaya huko mtaani
sabasaba ni kielelezo tu kimojawapo
Ktk Dhambi Kuu CCM mnafanya na inaimaliza nchi hii miaka nenda rudi ni unafiki!! Mnapenda kusifu yote yafanywayo na waliopo madarakani na huyageuka pale tu wenye mamlaka wakikaa pembeni!"...Ila mabanda ya vyakula ndo wanagombania wateja"
Kweli mkuu hali ya uchumi mbaya...ila hapo kwenye MENU watu lazima wale
Hali mbaya ndio maana hata Magufuli analeta hasira kwa kina Manji! Very soon wage bill itamshinda ndipo hizi porojo zitakapokosa soko!Huyu chizi kumbe
watu wakisema Magufuli kaharibu uchumi humu anawarukia kwa matusi
sasa yeye mwenyewe leo anakubali hali ni mbaya huko mtaani
sabasaba ni kielelezo tu kimojawapo
Vita ya madawa ya kulevya, haijawahi kumuacha mtu salama.View attachment 537409
Nimepita Saba Saba jana ili kujionea maendeleo ya viwanda na biashara.
Kwa maoni yangu imepwaya kuliko mwaka jana au juzi.
Katika jengo moja mabanda yalikuwa tupu.
Hata waonyeshaji wa kimataifa wamepungua sana.
Ila mabanda ya vyakula ndo wanagombania wateja.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] aseehKtk Dhambi Kuu CCM mnafanya na inaimaliza nchi hii miaka nenda rudi ni unafiki!! Mnapenda kusifu yote yafanywayo na waliopo madarakani na huyageuka pale tu wenye mamlaka wakikaa pembeni!
CCM mnashindwa mwambia Magufuli ukweli kuwa hali ya uchumi wa nchi inakwenda kubaya!