masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,608
- 14,552
DuhLeo nimeshangaa pamoja na kiingilio kupanda lakini eti ukienda kule maliasili kuangalia wanyama unalipia hela nyingine tofauti na miaka ya nyuma.....
Leo nimeshangaa pamoja na kiingilio kupanda lakini eti ukienda kule maliasili kuangalia wanyama unalipia hela nyingine tofauti na miaka ya nyuma.....
huu sasa ni ujinga, kwani kiingilio tunacholipa pale getini cha nini sasa......basi kama ndio hivyo kila banda tutaanza kulipiaPesa ya viwanda inatafutwa hapo- Na bado
Halafu wanasema maonesho hahahahahahahuu sasa ni ujinga, kwani kiingilio tunacholipa pale getini cha nini sasa......basi kama ndio hivyo kila banda tutaanza kulipia
Ukiwa kama mtiifu na mwandamizi unaionaje hali hii? Au bado tupo kwenye miwani ya mbao?View attachment 537409
Nimepita Saba Saba jana ili kujionea maendeleo ya viwanda na biashara.
Kwa maoni yangu imepwaya kuliko mwaka jana au juzi.
Katika jengo moja mabanda yalikuwa tupu.
Hata waonyeshaji wa kimataifa wamepungua sana.
Ila mabanda ya vyakula ndo wanagombania wateja.
Hatari mnoLeo nimeshangaa pamoja na kiingilio kupanda lakini eti ukienda kule maliasili kuangalia wanyama unalipia hela nyingine tofauti na miaka ya nyuma.....
Duuh ngoja niwaulize wengine walioendaLeo nimeshangaa pamoja na kiingilio kupanda lakini eti ukienda kule maliasili kuangalia wanyama unalipia hela nyingine tofauti na miaka ya nyuma.....
Ukiwa kama mtiifu na mwandamizi unaionaje hali hii? Au bado tupo kwenye miwani ya mbao?
Vyote vitadanganya ila namba hazidanganyi......
Kwa hali hyo inaashiriaa nini?Kwa hali Ya upande wa uchumi wa nchi
Ova
Kila mwaka tunasemaga imepwayaView attachment 537409
Nimepita Saba Saba jana ili kujionea maendeleo ya viwanda na biashara.
Kwa maoni yangu imepwaya kuliko mwaka jana au juzi.
Katika jengo moja mabanda yalikuwa tupu.
Hata waonyeshaji wa kimataifa wamepungua sana.
Ila mabanda ya vyakula ndo wanagombania wateja.
Nchi hii inakwenda ku collapse aiseMtu huyu huyu ukimwambia hali ya uchumi ni mbaya atakwambia
wauza madawa na wapiga dili ndo wanalia
leo kajionea mwenyewe na bado litakuja kubisha humu
Mkuu inalolisema ni kweli.baada ya kulipia kule nje nikajisogeza kwenye banda la maliasili kujionea kinachoendelea nilipoona lango la kuelekea banda la wanyama walio hai nikaambiwa lazima nilipie tena mweeee nikaishia kwenye nyumba za wagogo kisha huyooo kwa mrisho mpoto.Leo nimeshangaa pamoja na kiingilio kupanda lakini eti ukienda kule maliasili kuangalia wanyama unalipia hela nyingine tofauti na miaka ya nyuma.....