Baba rai
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 228
- 292
Naamka asubuhi hii na kukutana na ujumbe wa WhatSapp katika simu yangu ukiniambia niingie Instagram na kuandika MIHANPARTY nione jinsi dunia ilipofikia.
Nimeingia na kukutana na kitu ambacho sikutaraji kabisa kabisa!!!
Ni account maalum ya kuudhalilisha Uislam na kuna katuni za kila aina za kumtusi Mtume Muhammad, Quraan ikichomwa moto, Quraan ikitiwa kwenye nyuchi na hata kukanyagwa huku kukisindikizwa na maneno ya kuudhi kabisa!!!
Inaonyesha kitu hiki kipo muda mrefu na pia malumbano yanaendelea haswa kwa wenye dini yao duniani kote kuona hali hiyo.
Ni wazi huyo aliyeanzisha hivyo anataka kuichafua dunia maana maswala ya Imani yana nguvu sana na si ya kuchezea wala kudhihaki dini ya mtu yeyote.
Siweki picha yeyote kwa kuwa ni za udhalilishaji na lakini pia naomba Mungu watu wampuuze mtu huyo ili kuepusha tafrani.