Kwanini waiombee kwani ina matatizo gani?Walikuwa wanaiombea Ndege ifike salama toka Canada!
Huwezi jua Mkuu labda Mh Dr Rais alijifunza toka Mv Dar es Salaam.Kwanini waiombee kwani ina matatizo gani?
Teh teh teh kama ndio hivyo inabidi amchukue Mzee wa Upako waende nae pale ferry kupiga maombi ili ile M.V Dar izinduke kutoka kwenye usingizi wa pono iliyolala,maana maombi yana nguvu sana.Huwezi jua Mkuu labda Mh Dr Rais alijifunza toka Mv Dar es Salaam.
Inasemekana NDEGE hiyo ina piga breki anganiKwanini waiombee kwani ina matatizo gani?
Kumbe ndio maana waandishi wa habari walipigwa marufuku wasiisogelee eeh.Inasemekana NDEGE hiyo ina piga breki angani
Ukuta upishie mbali
Walikuwa wanaiombea Ndege ifike salama toka Canada!
Kumbe ccm na wao wanasali?
Inachomoka tairi ikiwa anganiKwanini waiombee kwani ina matatizo gani?