kama hayajakukuta unajuaje ni vibaya wewe ukienda kwa mwanaume wako unalipia shida yako moja ni umasikini kama una shida ya pesà mwambie badala ya kuvizia.Nyie ndo mnapenda kulelewa na kuamia kwa akina dada atimae siku na siku unafukuzwa kama paka ! Mie sna muda muchafu kama unavyo fikiri ila naongelea nayo yaona yanatokea unafikiri akiongea mtu basi yamemkuta pole sana dogo.
Wapi imeandikwa lazima nimtuze mwanamke;;;;;;; tukitaka hivyo Bac msifanye kazi mbaki ndani km chombo cha starehe na kuzaaSio kulalamika elewa kilicho hongelewa jua wewe mwanaume umeubwa umtunze mke sio mke akutunze wewe. Basi kama haujifunzi kafanye ukichokwa ukabalaswa utayakumbuka maneno yangu.
Wachoyo na wabahili mnajulikana tu, soln nakupiga chini hapo hapo hakuna haja ya kukurudiaSasa unataka alipie nini hapo?,hiyo wine,chakula na taulo ulillompa,wewe ukienda kwake ukapewa vitu kama hivyo hua unalipishwa?,hivi beijing mlikwenda kulilia nini?,si usawa?,acha uisome number,huu ndio usawa wa beijin
Pole sana na hongera kwa kujitambua hakuna sababu ya kufuga maradhi kama hayoNaunga mkono hoja.huu ujinga nilishawai kunikuta,sema miye nilikuwa naudumia kila kitu mpaka mwanaye namlipia na ada kwa single momy,duh yaliyonkuta ni siri yangu,nilisepa mwenyewe.
Punguza jazba dada, Basi siku nyingine ukimualika tutamtonya akuandikie "LPO" kabisa ili usilalamike tena.Nyie ndo mnapenda kulelewa na kuamia kwa akina dada atimae siku na siku unafukuzwa kama paka ! Mie sna muda muchafu kama unavyo fikiri ila naongelea nayo yaona yanatokea unafikiri akiongea mtu basi yamemkuta pole sana dogo.
Pole sana na hongera kwa kujitambua hakuna sababu ya kufuga maladhi kama hayo
Tatizo sio kuchangia Mkuu! Muwe mnasema tu ila mwanaume anayejitambua na kuijua thamani ya kupewa tunu ya koromeo hawezi Ku act like a woman mode of receivingNa mwanamke naye akienda kwa mwanaume agharamie? Tatizo vijana wa aina yako mnaendeshwa na mapenzi ya kihisia baada ya kutazama bongo mavi. Hivi ukienda kwa rafiki yako huwa unaombwa kuchangia gharama ya chakula na umeme unaowasha televisheni ukiangalia?