Saa na mishale yake

jenereta

Senior Member
Apr 9, 2013
147
170
Msaada jamani, eti
1. saa ya mshale
2. mshale wa saa
3. mshale wa dakika na
4. mshale wa sekunde, vinaitwaje kwa lugha ya kiingereza?
Naomba msaada
 

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
54,559
2,000
Saa ya mshale~ watch of arrow
Mshale wa saa ~ Arrow of watch
Mshale wa dakika~ arrow of a minute
Mshale wa sekunde~ arrow of pulse
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom