Saa na Cheni za Gold nitapata wapi hapa Dar?

Smart Contract

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2014
Posts
1,348
Reaction score
3,214
Naomba mwenye kujua duka linalouza saa za gold na cheni kwa hapa dar anielekeze sitaki ile midosho ya elfu kumi kumi, maana nimezunguka hapa kariakoo naona wanauza midosho, mi nataka orijino especially saa ndiyo nnashida nayo sana.
 
unataka cheni nenda kwa sonara, inaonyesha we ni mgeni kwenye haya mambo! angalia usipigwe!
 
Ipo rolex full gold... Inatakiwa $10000 kwa tshs ni 18550000. Nicheku kama unataka . Ipo card na kila kitu
 
Naomba mwenye kujua duka linalouza saa za gold na cheni kwa hapa dar anielekeze sitaki ile midosho ya elfu kumi kumi, maana nimezunguka hapa kariakoo naona wanauza midosho, mi nataka orijino especially saa ndiyo nnashida nayo sana.
Weka kwanza picha ya makazi ya wazazi wako mkuu,isije ikawa hata kibanda hawana wewe unanunua gold
 
unataka cheni nenda kwa sonara, inaonyesha we ni mgeni kwenye haya mambo! angalia usipigwe!

mi si mgeni kwa haya vitu, bali ni mgeni kwa hapa dar, im not interested na hawa jewellers wetu, i need something imported from outside
 
Back
Top Bottom