Saa inakuja

Saa inakuja

Joined
Mar 5, 2014
Posts
93
Reaction score
49
Mwisho wa unafiki wa Watanzania umekaribia sana na utakuwa mwanzo wa kuanza historia mpya historia ya kuuandika uzalendo mioyoni na si katika karatasi.
Nelson Mandela miaka ya 1960's aliwahi kushtakiwa kwa kosa la kuanzisha kikosi cha kupingana na udhalimu wa Makaburu ili kuwalinda viongozi wa ANC,Kikosi hicho kiliitwa "UMKHONTO WE SINZWE"....sio kwamba Nelson Mandela aliamua tu kushiriki kuanzisha kikosi hicho ila mfumo uliokuwepo ulifikia hatua ya kuwafanya wananchi kuamua maamuzi magumu.
Nelson Mandela hakupendelea sana harakati za kivita na umwagaji damu ili kuikomboa Afrika ya kusini ila swali la kujiuliza ni kwa nini alifikia hatua ya kushiriki kikamilifu kuanzisha "UMKHONTO WE SINZWE"?hapo ndipo tunapopaswa kujifunza sana.
Ktk utawala wa Kidemokrasia kuna machaguo makuu mawili katika utafutaji wa haki za msingi za kiraia.
1.Kukaa mezani.2.Kutumia nguvu.
Hata tukimrejealea Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alishawahi kutamka juu ya kuitafuta haki..."njia za busara,majadiliano na kama ikishindikana hata kuvunja dirisha"...hapa alimaanisha kutumia nguvu.
.........Tafakari.........
 
Ri Chadema hiri harina jipya zaidi kuomba fujo!
Nadhani rimekunwa na hotuba ya Sinde!
 
Back
Top Bottom