Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,749
- 1,312
Marry Hunbig ngoja tumalizane na hawa wachafuzi ya Chit Chat
Halafu kama vipi tuwataje kwa majina...wanakera ujue!!
Last edited by a moderator:
Marry Hunbig ngoja tumalizane na hawa wachafuzi ya Chit Chat
Halafu kama vipi tuwataje kwa majina...wanakera ujue!!
... Umoja wenu udumu wanaCC. Mimi ninapita tu!
muwe mnawapotezea tu...otherwise mnaendelea kuwapa ujiko!
Ahsante manoah kwa kuwapa makavu live!
Kwa pamoja tufanye CC ni mahali salama pa kuishi sio kama majukwaa mengine.
Tukiwapotezea, wanajaza thread uchwara humu, inafikia kipindi hakuna cha ku comment unaamua kulusha like tu