Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
1. Usitishie kuhama Chit Chat huku unaipenda, matokeo yake waja na ID nyingine kusumbua watu.
2. Sio, kila ujisikiapo kuweka uzi nawe uweke hata kama hauna maana, mnajaza Server na pia mnatia uvivu kwe jukwaa na mauzi uchwara.
3. Ukiona mtu kakwuza mfate PM mchane live, akishindika waambie wadau, wamfanyie hadi aone jukwaa halifai.
4. Na ukiwa na hasira usilie nenda jukwaa la jokes au nitafute mimi nikupoteze hasira.
5. Hata ukiamaa jukwaa usifungue ka ID Ka kuja kutusumbua huku, heshima ichukue nafasi.
6. Ukae siku zote humu Jf ukijua hakuna alie kulazimisha kuingia humu, so ukijisikia kuondoka kama ulivyo ingia pasipo kuwasumbua member.
Wadau Wote tuacheni madharau na utumbo utumbo.