SA Latest Crime Statistics

SA Latest Crime Statistics

Dahlia

Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
86
Reaction score
48
Wanajf, nimeshangazwa na taarifa zilizotolewa na bosi wa Jeshi la Polisi SA kuhusu takwimu za 'murder' . It is shocking especially considering that nchi ina watu mil 52. Kwa muhtasari tu:

Katika miaka sita iliyopita, murder zilizotokea ni 16,259, wastani wa mauaji 45 kwa siku.
Ripoti inasema hata hivyo kuna kushuka kwa mauaji kwa asilimia kadhaa kwani mwaka 2004/2005 wastani ulikuwa ni mauaji 51 kwa siku.

Mauaji ya wageni (xenophobic attacks/murders) kwa mwaka jana ni 140 wageni waliuawa na wenyeji. Jana na Juzi upande wa Port Elizabeth maduka ya wasomalia zaidi ya 100 yaliporwa.

Kwa mwaka jana tu kulikuwa na jumla ya violent protests 1882, ikimaanisha kuwa walau kila siku kuna violent protests tano.

Pamoja na kwamba takwimu zina tabia ya kutia hofu, lkn naona picha si nzuri. I hope our Tanzanian Police Force wana statistics kama hizi. It would be enlightening to compare and contrast...
 
Back
Top Bottom