Crystal field theory
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 953
- 413
Nicheki 0712325858...Upo wapi,?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tena mm ndo nikucheki!?
0716403314
0625882454
Labda aliflash kwa makosa hiyo rom ya Tecno..hata ivo napata was was samsung imewazaje kuwaka kwa os ya Tecnos5 inatumia temporary os ya Tecno? una uhakika na ulichokiandika? maana kwangu ni kipya
Endelea kuwaza ivoivoLabda anaogopa kukamtwa[emoji115]
Mimi ndo ninaetumia... Sasa unabishana na uhalisiaLabda aliflash kwa makosa hiyo rom ya Tecno..hata ivo napata was was samsung imewazaje kuwaka kwa os ya Tecno
100%s5 inatumia temporary os ya Tecno? una uhakika na ulichokiandika? maana kwangu ni kipya
Mkuu pamoja na hayo huyo chief mkwawa jukwaa hili ni mmojawapo wa ma nabii wetu ktk figisu za gadgets hebu nyoosha maelezo .Mimi ndo ninaetumia... Sasa unabishana na uhalisia
Hata kama ni wewe unaetumia lakin hicho kitu hakiwezekana au unatumia samsung fake yenye chipset ya mediatek??😳Mimi ndo ninaetumia... Sasa unabishana na uhalisia
tatizo jamaa ni mbishi na hataki kueleweshwa kwa akili zake anaweza kusema kuna android inayoweza ku operate rom ya iosMkuu pamoja na hayo huyo chief mkwawa jukwaa hili ni mmojawapo wa ma nabii wetu ktk figisu za gadgets hebu nyoosha maelezo .
Kwa sababu kwa hali ya kawaida there is no way samsung wakaingiza makitu ya tecno labda hiyo simu iwe tecno katka kasha la samsung sasa inakuwaje inajiboot kama tecno?kuna mtu kaingiza kama sio wewe na simu hukununua dukani then ongea vizuri na aliyekuuzia
Keshapigwa huyo.mjini hapatatizo jamaa ni mbishi na hataki kueleweshwa kwa akili zake anaweza kusema kuna android inayoweza ku operate rom ya ios
Duuh sawa bruhKeshapigwa huyo.mjini hapa
Sawasawatatizo jamaa ni mbishi na hataki kueleweshwa kwa akili zake anaweza kusema kuna android inayoweza ku operate rom ya ios
PamojaHata kama ni wewe unaetumia lakin hicho kitu hakiwezekana au unatumia samsung fake yenye chipset ya mediatek??😳
Refer above mr.. Labda sikueleweka, ni ivii nilivosema temporary nikwamba tumeweka ya techno baada ya ya kukorapti..sasa ndio nahitaji msaada wakurudisha kama ilivokuwa katika uhalisia wake na wala usitie shaka sijui nimepigwa wala mawazo mengine tofauti na hapo#ahsanteMkuu pamoja na hayo huyo chief mkwawa jukwaa hili ni mmojawapo wa ma nabii wetu ktk figisu za gadgets hebu nyoosha maelezo .
Kwa sababu kwa hali ya kawaida there is no way samsung wakaingiza makitu ya tecno labda hiyo simu iwe tecno katka kasha la samsung sasa inakuwaje inajiboot kama tecno?kuna mtu kaingiza kama sio wewe na simu hukununua dukani then ongea vizuri na aliyekuuzia
Kumbe kiswahili unajua, ungeandika kwa kiswahili tu mkuu,Mimi umenichanganyaS5 has corrupted its OS ... So it uses a temporary OS of techno' now can you help me to return back its OS system as it is? Nakama ni pesa inahitajika kiasi gani ili niweze kufanikisha coz warrant haina...