s5 au note 3

s5 au note 3

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Posts
4,489
Reaction score
6,883
Simu tajwa hapo juu zinahitajika bajet 700,000 ni PM
Ziwe mpya
 
Milioni moja na ishiri mkuu, note 3 mpya kabisa inasajiliwa na unapata warranty (adhd warranty)
Nicheki +255 657 113 536
 
Same to s5, duka lipo quality centre ila nakutolea kwa mlango wa nyuma
 
Thats y bei ina drop....from certified seller note 3 si chini ha 1.2M same applies to S5.

Ila b warry simu nyingine n dubai versions af magumashi, ka vp ongezea upate mzigo wa uhakika.
 
Samahani natoka nje ya hizo..
Kuna htc 1 mpya haijawahi kutumika in box for 600,000.. if u are interested lakin 0717599884
 
Wataalamu wa samsung nielimisheni jinsi ya kujua simu origino maana lak 7 ni nyingi sana si ya kununua cm feki.
Msaada
 
Wataalamu wa samsung nielimisheni jinsi ya kujua simu origino maana lak 7 ni nyingi sana si ya kununua cm feki.
Msaada

kabla ya kuinunua hiyo simu.. omba utie line ..fungua playstore ..download hizi applications then uzirun utapata majibu.... (phone info)...(genuine galaxy)...(CPU Z)
 
kabla ya kuinunua hiyo simu.. omba utie line ..fungua playstore ..download hizi applications then uzirun utapata majibu.... (phone info)...(genuine galaxy)...(CPU Z)
Sawa mkuu tofauti yake inakuwa nini kati ya feki na original
 
Sawa mkuu tofauti yake inakuwa nini kati ya feki na original

kwa mfano hiyo genuine galaxy itakwambia dhahiri kama unatumia original au feki.... cpu z itakupa manufacturer na specs zote za simu utamatch gsm arena....phone info nayo itakupa info zote za simu ..kama fake utaijua tu
 

Attachments

  • 1402031481201.jpg
    1402031481201.jpg
    81.8 KB · Views: 110
  • 1402031542001.jpg
    1402031542001.jpg
    58.6 KB · Views: 102
  • 1402031556352.jpg
    1402031556352.jpg
    39.5 KB · Views: 94
  • 1402031574235.jpg
    1402031574235.jpg
    46.6 KB · Views: 88
kwa kuongezea clone nyingi processor zake ni mediatek
 
mzigo ukiwa fake itakupa mfano huu...hopefully utakuwa unenipata sasa
 

Attachments

  • 1402032650162.jpg
    1402032650162.jpg
    50.4 KB · Views: 100
  • 1402032683487.jpg
    1402032683487.jpg
    33.3 KB · Views: 92
  • 1402032696891.jpg
    1402032696891.jpg
    48.9 KB · Views: 87
  • 1402032711304.jpg
    1402032711304.jpg
    58.9 KB · Views: 85
Back
Top Bottom