Halafu sijui kwa nini Urusi hajifunzi yani... Maana ile S300 ya Ugiriki Israel na NATO kila siku wanaifanyia mazoezi kutafuta countermeasures zake.That's peanut money compared to that of Trump to Saudia's worth USD 350 bn/= the largest ever in mankind history.
Alaska yenye ukubwa wa 1.718 sq. km (almost twice the size of TZ) US aliinunua kutoka kwa warusi for just 7m/-
parkage vs commodityThat's peanut money compared to that of Trump to Saudia's worth USD 350 bn/= the largest ever in mankind history.
Alaska yenye ukubwa wa 1.718 sq. km (almost twice the size of TZ) US aliinunua kutoka kwa warusi for just 7m/-
Sasa kwahiyo unataka kusema nini?That's peanut money compared to that of Trump to Saudia's worth USD 350 bn/= the largest ever in mankind history.
Alaska yenye ukubwa wa 1.718 sq. km (almost twice the size of TZ) US aliinunua kutoka kwa warusi for just 7m/-
Ni kweli uturuki ni mwanachama wa nato but km utakuwa makini kwa siku za hivi karibuni relationship ya uturuki na EU imeshuka kwa kasi kubwa mno, siku ya Jana km nitakuwa sijakosea rais wao kawasemea mbovu EUNaona inaenda pelekwa NATO maana yake wataidukua
Halafu sijui kwa nini Urusi hajifunzi yani... Maana ile S300 ya Ugiriki Israel na NATO kila siku wanaifanyia mazoezi kutafuta countermeasures zake.
Leo wanawapa Turkey S400 sitashangaa baada ya miaka 5-10 nikaona S400 ikiwa mazoezini na Marekani na NATO kiujumla ikiwemo Israel
Kwa hiyo ulitakajeTatzo democracy ya uturuki sio mzur.
Nitakaje kwani mi mturuki? Nawaachia waturuki wenyewKwa hiyo ulitakaje
Ukiona hivyo wamekubali kuwauzia na technology ujue wao tayari wako level nyingine kabisa hiyo tayari kwao outdatedHalafu sijui kwa nini Urusi hajifunzi yani... Maana ile S300 ya Ugiriki Israel na NATO kila siku wanaifanyia mazoezi kutafuta countermeasures zake.
Leo wanawapa Turkey S400 sitashangaa baada ya miaka 5-10 nikaona S400 ikiwa mazoezini na Marekani na NATO kiujumla ikiwemo Israel