meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
Jaribu kurestart uone kama itasolve.
Hakuna s4 original line mbili bandugu jaribu kucheki pale agrey street hamna kinachoshindikana
Ni S4 mini ...pengine ni mchina but inasave the purpose
Naweza kukushauri kutunza contacts zako kwenye google acct yako na sio ktk SIM Cards
Na bado hizo contacts zote unaweza kuziamishi huko
Nitauzingatia ushauri!lakini kumbuka hapo kuna namba za ndugu wa kijijini ambao hawana email.