S.A.. Hii sasa imepitiliza

S.A.. Hii sasa imepitiliza

stardust JK

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
2,998
Reaction score
4,250
Yaani polisi wa sauzi wanacheka kabisa wanafurahia kuona mtu anavyoungua moto
FB_IMG_15676196421113649.jpg
 
Daah hatari Sana aisee. Chukulia ni ndugu yako au mzazi wako ndio amechomwa Moto hivyo. Inaumiza sana.
 
Hii kitambo nadhani tukio tofauti walidai ni raia wa Mozambique naikumbuka hii

Ingia Instagram kwa hashtag ya xenophobia zipo hizo picha za vurugu la mwanzo kabisa ambalo lilitisha zaidi ya hili
 
Siendi popote matukio ya zamani hubaki kwenye memory zangu
 
nakumbuka walitoaga onyo kipindi kile mzee Mandela bado yupo hai, walisema wanamuheshimu yeye tu.....kwamba akifa tu wataanza hizi vurugu.

yale maneno na lile onyo sikuwahi kulichukulia kirahisi kwahiyo sishangai haya matukio, waSouth wana roho mbaya sana hawa watu.
 
Wana roho mbaya kama ccm, na utawala wa sasa. Unafanya mauaji kwa sababu za kijinga, ati mtu ametoa maoni. Mchana kweupe unampiga mtu risasi zaidi ya 30. Mungu kamponya unamtanyia unyama zaidi AFADHALI HATA HAO WA SAUZI.
Ccm na watu wake wanajenga chuki itakayo dhidi hapo.
 
Acha kutoa mifano ya kipumbavu wewe.huyo mtu wako alipigwa na wanamtandao wake baada ya kuwasaliti.
 
Ni hatari kwakweli, fikitia wageni waliokwenda kikazi, kimasomo, matibabu sijui wanaishi katika hali gani?
 
Back
Top Bottom