Eti USA ananunua rocket engine kutoka Russia kwa 7bu ya unafuu wa bei na si vinginevyo! Ebo mbona unaishi kwa lamri? Hili neno "ña si vinginevyo" unataka kumaanisha kwamba kuna bei ngumu mbele ya USA? We utakuwa marekani huijui na Urusi huijui! Kutokujua si upumbav, ila upumbavu huja pale unapobishia usiyoyajua kwa taarifa yako marekani walipunguza kwa kiasi kikubwa ajali za safari za anga za juu baada ya kuachana na rocket engine na kutumia za mrusi na ndipo biashara hiyo ikaota mizizi kila nchi ina kipaji chake yaweza kuwa USA anamzidi mrusi vitu vingi lakini kuhusu rocket engines urusi ndiye baba lao