Marekani anaanza kutengeneza Rocket Launchers zake 2022, wamekuwa wakitumia za Russia kwa ajili ya gharama na sio vinginevyo.Marekani wamenunua injini za roketi kutoka Russia mara nyingi lakini wameshindwa ku' re-engineer hizo injini watengeneze zao.
Simulation siyo actual exercise; in most cases simulation inakuwa na 25-60% error. Kwenye issue za usalama hata 1% ni grave error ! Wafanye simulation zao wakimaliza waende Iran kujaribu kama wanaudhubutu.
Nimecheka sana hii.Iran hana S 300. labda kama ulimuuzia wewe
Kwa kukusaidia tu ni kwamba US hana technology ambayo anawaweza kumubabaisha Israel ifike kipind Israel iuziwe ndege na US ambazo hazna ubora,kwa ufupi ni kwamba wale mainjinia karibu asilimia 60 walioko kweny viwanda vya uzalishaji hasa kwa upande wa Technology huko USA ni wayahudi,utakumbuka kwamba hata huyu mgunduzi aliyetengeneza Bomu la nyukilia lilitumiwa na marekani huko Japan (Hiroshima na Nakasaki)alikuwa ni myahudi kutoka ujerumani aliyekimbilia USA baada ya kutofautiana na Adolf Hitler,kitu kingine ndege zote za kivita za USA unazo zijua wew kule USA ili ziwe bora lazma Myahudi aziwekeee Technology, na kuna kipindi cha nyuma USA alinunua Nyambizi kutoka Japani bado alimutumia myahudi kumuwekea Technology, Kwa ufupi ni kwamba USA & Israel ni chanda na pete, USA hana ujanja wa kumuuzia Myahudi ndege zisizokuwa na ubora hiyo haiwezkani,hata hao mainjinia wa kiyahudi walioko marekani hawawez kukubali hata kidogo,myahudi yoyote yule haachi asili yake anafanya kazi marekani au Russia huku anafikilia ndugu zake walioko Israel wataishi vipi siku za baadaye kwa ufupi ni wazalendo wa kiwango cha maraika hasa linapokuja swala la Utaifa wao,Rockefeller wa USA na Rottichild hizo ni baadhi ya familia tajiliri zaidi wa kupindukia hapa Dunian za kiyahudi,hao ndo wanao panga serikali za mataifa mbalimbali na hasa makubwa hapa Dunian, yaani kwa ufupi ndo wanaoiendesha dunia,Dunia iko kiganjani mwao,wakiamua huyu kiongozi wa USA,Ufaransa, Italia,Ujeruman,Canada Australia hatumtaki ujue hawamtaki kwer,hawa ndo waasisi wa demokirasia hapa Dunian, hawa ndo master plan wa kudondosha tawala za kiarabu either kwa kutumia mass power au kwa mtutu wa bunduki pale mashariki ya kati,Rockefeller ndo aliyetoa ekali 18 elf bure kujenga lile jengo la UN pale USA,kiwanda kikubwa kabisa cha kutengeneza magari kinaitwa General motors kiko pale USA ni mali ya wayahudi,mwaka 2007 & 8 kilitangaza kufilisika uchumi wa Dunia ulipolomoka sana ikiwemo USA yenyewe,mabank yote yalifilisika,harafu mabank yote makubwa unayoyafahamu wew wameweka baraka zao,ikiwemo BOT yenu,kwa ufupi Israel iacheni iitwe Israel, ni Taifa linaloishi kama familia moja,hakuna usaliti,haijarishi ni mweusi au mweupe madamu anaasili ya kiyahudi wote ni Israel,nimesema hivo kwa sabb kuna wayahudi weusi kutoka Ethiopia waliwahi kufanya sensa walikuwa 1500 na tayr walishaenda zao Israel,miaka ya nyuma USA aliwahi kutofautiana na Israel kuhusu mgogoro na wapalestina sikumbuki ni lini ila kipindi hicho waziri Mkuu wa Israel alikuwa ni jamaa mmoja alikuwa anaitwa General Aerial Sharon aliwatangazia wayahudi wote walioko popote pale Dunian waludi kwao kuilinda Nchi yao,ilimbudi USA aufyate mkia na baada ya kuona wayahudi wengi sehem mbalimbali wametii wito na kuanza taratibu wa kufungasha na kufunga baadhi ya biashara ili waludi Israel, mabank mengi yalianza kudolola, nimalize tu kwa kusema chochote ambacho USA atamuuzia Israel lazma kiwe quality,Ila kumbuka huwa kuna kwa ajili ya Export na Kwa ajili ya matumizi ya Ndani. ZAa ku export haziwezi kuwa sana na za kutumia nyumbani. Hiyo iko hata kwenye Ndege. Usidhani ndege ambazo USA namuuzia Muisraeli ziko sawa na anazo tumia yeye hata kama ni Aina moja
Hapana kaka... marekani si kama wameshindwa.. shida ya mmarekani anataka kutumia brand yake yeye mwenyewe. Engine walio tumia ambayo ni ya urusi, mara nyingi wanatumia kwenye rocket za kwenda space lakin ishu ya defence wana brand yao.Marekani wamenunua injini za roketi kutoka Russia mara nyingi lakini wameshindwa ku' re-engineer hizo injini watengeneze zao.
Simulation siyo actual exercise; in most cases simulation inakuwa na 25-60% error. Kwenye issue za usalama hata 1% ni grave error ! Wafanye simulation zao wakimaliza waende Iran kujaribu kama wanaudhubutu.
Yes.. israel wanachofanya wanaponunua ndege kutoka kwa mmarekani.. wananunua body, lakin wana install flight systems zakwao. mfano walipo nunua mirage 2000 kutoka ufaransa , wali istall system zao, so ndege ika change jina from miragge 2000 to IAI-NESHER.Ila kumbuka huwa kuna kwa ajili ya Export na Kwa ajili ya matumizi ya Ndani. ZAa ku export haziwezi kuwa sana na za kutumia nyumbani. Hiyo iko hata kwenye Ndege. Usidhani ndege ambazo USA namuuzia Muisraeli ziko sawa na anazo tumia yeye hata kama ni Aina moja
Russia amesema s 400 siyo ya generation hii. Hawezi kuitumia kwa sasaKama HIO S300 ni ivyo je S400 itakuaje
Kwa research ipi uliyofanya? Tupe hiyo research report, otherwise umetoa kichwani tu with no basis at all.Ni 'cite' mimi tu, Mkuu, siyo kila kitu kitoke/published by 'Nature Journals'.
Ooh ! Now, I know where you are heading to. Fortunately, I prefer to stay in JF as TUJITEGEMEE ,not the other way around.Kwa research ipi uliyofanya? Tupe hiyo research report, otherwise umetoa kichwani tu with no basis at all.
Hizo ni simulated, pilot anaweza kukwepa akiwa kwenye action!?!?Uzuri myahudi kwenye masuala kuhusu usalama wa Taifa Lao hanaga mchezo alishajua kwamba S-300 ni kitisho kwake akaanza maandalizi mapemaa
Israel trained against Russian-made air defense system in Greece:...
Israel has acquired technical data about the S-300 system, which is capable of hitting aerial targets at a distance of 150 kilometers, and an altitude of up to 27,000 meters.
The maneuvers were aimed at testing out different tactics against the S-300, in simulated attacks against ground targets protected by S-300 batteries
Israeli Air Force Team Up With Greeks to Train Against S-300 Missile System
DaahhhhNitofautishe nini? Nimekwambia ndege Vita za jahudi zinarukaga juu ya anga yà Irani,l...
Wazee wa vitengo hao.Hii umetoa wapi mkuu?
Unauliza jibu?? Ndege vita za israel zinaruka Anga ya Iran kama kwao [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Marekani anaanza kutengeneza Rocket Launchers zake 2022, wamekuwa wakitumia za Russia kwa ajili ya gharama na sio vinginevyo.
Hakuna "" Defense System" yoyote duniani ambayo ni 100% foolproof against an attack, haijawahi kuwepo na haitakuwepo.
Zipo. Zina itwa PatriotWakuu hivi kati ya s-300 s-400 s-500 na ile THAAD ipi ina nguvu sana?
Na ukiacha hiyo THAAD marekani wanao mfumo mwingine?
Nasikia US wana mandege yao yale ya B-2 spirit stealth bomber yakipita huwa hayaonekani kwenye radaHivi hii tabia iliyo jengeka ya ku-invent excuses for the US's inability to design a reliable liquid fuel rocket engines, lengo lake ni nini hasa - visingizio hivyo vinawasaidia nini kisaikilojia au mnataka kuonyesha nini kwamba Mataifa mengine hayana wataalamu wabobezi katika masuala ya uundaji reliable/proven rocket Engines? Unawezaje kuja na hoja hapa eti Amerika inanunua Rocket Engines kutoka Mataifa mengine kutokana na gharama na sio vingine!! What a lame excuse? Mara ngapi kampuni za USA zimejaribu ku-reverse Engineer Engine za Urusi bila mafanikio, wamekiri wenyewe kuhusu ukweli huo, Amerika tangu lini ikajali gharama kama imepania kufanya kitu gharama kwao si hoja hata kidogo,chukulia mfano wa fighter jet F-35 Kampuni ya Lockheed Martin wame-rip off Serikali yao bila huruma wakati ndege zenyewe zina matatizo lukuki. Tangu afariki mtaalamu Mmerikani mwenye asili ya Kijerumani one Wener Von Braun huyo ndiye alikuwa kichwa kweli kweli kwenye masuala ya ROKETI tangu aondoke Duniani sekta hiyo kidogo iliyumba.
Kuhusu Air Defense System kama S-300/400 wasikilize Israel wana maoni gani kuhusu System hizo, kwa nchi za Ulaya S-300 hipo Nchni Ugiriki baada ya kuinunua kutoka Urusi miaka mingi iliyo pita - Waisrael wali wahi kutumia ndege zake za vita kuifanyia majaribio makali S-300 kwa makubaliano ya Serikali ya Ugiriki - matokeo yake Ndege za Israel zilishindwa kuidhibiti S-300 walitumia mbinu zote za ki-electonic ili wai-jam lakini wakashindwa, Waisrael wanasema muda wote Sytem hiyo ilikuwa inaona ndege zao na kuzilenga!! - Hii inamaanisha System hiyo ingeweza kutungua ndege zote zilizo jaribu kui-defeat electronically.
Hata mashambulizi ya juzi juzi huko Syria, ndege za vita za US,Uingereza na Ufaransa zilirusha makombora kutoka umbali wa Km50 -100 kutoka mpakani mwa anga la Syria - hakuna ndege ilitia pua katika anga la Syria waliogopa sana kutunguliwa na S-300/400 - ndege zote za mashambulizi ziliweza kutambuliwa zimeruka kutoka upande gani, kinacho shangaza zaidi Sytem ina uwezo wa kujua ndege imeudwa wapi(nchi gani), za aina gani nk - Russia haikurusha kombora lolote ku-intercept in coming missiles, kazi hiyo waliwachia Jeshi la Ulizi wa anga la Syria, jeshi la Syria walitumia System za kizamani lakini zilikuwa very effective.
Nasikia US wana mandege yao yale ya B-2 spirit stealth bomber yakipita huwa hayaonekani kwenye rada
Kwanini hawazitumii hizo
Kuhusu Air Defense System kama S-300/400 wasikilize Israel wana maoni gani kuhusu System hizo, kwa nchi za Ulaya S-300 hipo Nchni Ugiriki baada ya kuinunua kutoka Urusi miaka mingi iliyo pita - Waisrael wali wahi kutumia ndege zake za vita kuifanyia majaribio makali S-300 kwa makubaliano ya Serikali ya Ugiriki - matokeo yake Ndege za Israel zilishindwa kuidhibiti S-300 walitumia mbinu zote za ki-electonic ili wai-jam lakini wakashindwa, Waisrael wanasema muda wote Sytem hiyo ilikuwa inaona ndege zao na kuzilenga!! - Hii inamaanisha System hiyo ingeweza kutungua ndege zote zilizo jaribu kui-defeat electronically..
Hata mashambulizi ya juzi juzi huko Syria, ndege za vita za US,Uingereza na Ufaransa zilirusha makombora kutoka umbali wa Km50 -100 kutoka mpakani mwa anga la Syria - hakuna ndege ilitia pua katika anga la Syria waliogopa sana kutunguliwa na S-300/400
Kama ni hivyo basi Russia walishindwaje kuzidungua wakati kabla yake waliapa kuzidungua sambamba na kulipua 'The Launch Sites'?Hivi hii tabia iliyo jengeka ya ku-invent excuses for the US's inability to design a reliable liquid fuel rocket engines, lengo lake ni nini hasa - visingizio hivyo vinawasaidia nini kisaikilojia au mnataka kuonyesha nini kwamba Mataifa mengine hayana wataalamu wabobezi katika masuala ya uundaji reliable/proven rocket Engines? Unawezaje kuja na hoja hapa eti Amerika inanunua Rocket Engines kutoka Mataifa mengine kutokana na gharama na sio vingine!! What a lame excuse? Mara ngapi kampuni za USA zimejaribu ku-reverse Engineer Engine za Urusi bila mafanikio, wamekiri wenyewe kuhusu ukweli huo, Amerika tangu lini ikajali gharama kama imepania kufanya kitu gharama kwao si hoja hata kidogo,chukulia mfano wa fighter jet F-35 Kampuni ya Lockheed Martin wame-rip off Serikali yao bila huruma wakati ndege zenyewe zina matatizo lukuki. Tangu afariki mtaalamu Mmerikani mwenye asili ya Kijerumani one Wener Von Braun huyo ndiye alikuwa kichwa kweli kweli kwenye masuala ya ROKETI tangu aondoke Duniani sekta hiyo kidogo iliyumba.
Kuhusu Air Defense System kama S-300/400 wasikilize Israel wana maoni gani kuhusu System hizo, kwa nchi za Ulaya S-300 hipo Nchni Ugiriki baada ya kuinunua kutoka Urusi miaka mingi iliyo pita - Waisrael wali wahi kutumia ndege zake za vita kuifanyia majaribio makali S-300 kwa makubaliano ya Serikali ya Ugiriki - matokeo yake Ndege za Israel zilishindwa kuidhibiti S-300 walitumia mbinu zote za ki-electonic ili wai-jam lakini wakashindwa, Waisrael wanasema muda wote Sytem hiyo ilikuwa inaona ndege zao na kuzilenga!! - Hii inamaanisha System hiyo ingeweza kutungua ndege zote zilizo jaribu kui-defeat electronically.
Hata mashambulizi ya juzi juzi huko Syria, ndege za vita za US,Uingereza na Ufaransa zilirusha makombora kutoka umbali wa Km50 -100 kutoka mpakani mwa anga la Syria - hakuna ndege ilitia pua katika anga la Syria waliogopa sana kutunguliwa na S-300/400 - ndege zote za mashambulizi ziliweza kutambuliwa zimeruka kutoka upande gani, kinacho shangaza zaidi Sytem ina uwezo wa kujua ndege imeudwa wapi(nchi gani), za aina gani nk - Russia haikurusha kombora lolote ku-intercept in coming missiles, kazi hiyo waliwachia Jeshi la Ulizi wa anga la Syria, jeshi la Syria walitumia System za kizamani lakini zilikuwa very effective.
Sasa hawa wanachukua mazoezi ya s 300 wakati wenzao wapo kwenye s500Daahhhh
Ila sawa.
nunuzi mwingine ni kwaajili ya kuiba technologyMbona Urusi alienda kununua warships toka kwa Wafaransa (deal likasitishwa baada ya ishu ya Ukraine),Ina maana yeye alishindwa kutengeneza zake?! France looking for warship buyers after cancelling Mistral deal with Russia
Egypt Buys Two French Warships Originally Built for Russia