S 300 air defense batteries

S 300 air defense batteries

likat

Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
40
Reaction score
32
Can Israel neutralize Russia S 300 missile defense system ?
 
Attachments

  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    8.9 KB · Views: 61
Uzuri myahudi kwenye masuala kuhusu usalama wa Taifa Lao hanaga mchezo alishajua kwamba S-300 ni kitisho kwake akaanza maandalizi mapemaa

Israel trained against Russian-made air defense system in Greece:...

Israel has acquired technical data about the S-300 system, which is capable of hitting aerial targets at a distance of 150 kilometers, and an altitude of up to 27,000 meters.

The maneuvers were aimed at testing out different tactics against the S-300, in simulated attacks against ground targets protected by S-300 batteries

Israeli Air Force Team Up With Greeks to Train Against S-300 Missile System
 
The maneuvers were aimed at testing out different tactics against the S-300, in simulated attacks against ground targets protected by S-300 batteries
Marekani wamenunua injini za roketi kutoka Russia mara nyingi lakini wameshindwa ku' re-engineer hizo injini watengeneze zao.

Simulation siyo actual exercise; in most cases simulation inakuwa na 25-60% error. Kwenye issue za usalama hata 1% ni grave error ! Wafanye simulation zao wakimaliza waende Iran kujaribu kama wanaudhubutu.
 
Ninacho jua katika kuongeza vitu Fulani Fulani inakuwa sawa kwenye kile kitu sio kucopy halafu ikawa sawa
 
Every tech ina loophole ndio maana kuna ku-update
 
Marekani wamenunua injini za roketi kutoka Russia mara nyingi lakini wameshindwa ku' re-engineer hizo injini watengeneze zao.

Simulation siyo actual exercise; in most cases simulation inakuwa na 25-60% error. Kwenye issue za usalama hata 1% ni grave error ! Wafanye simulation zao wakimaliza waende Iran kujaribu kama wanaudhubutu.
Haha!! Mkuu Marekani sidhani kama wameshindwa kutengeneza hizo engine za Urusi maana wangeweza kuingia mkataba na Russia wakatengeneza under license tatizo Ni gharama ya utengenezaji ndani ya USA ni kubwa Sana ukilinganisha na Bei anayonunua toka Russia. Congress nakumbuka wakati wa Obama walitaka kupitisha azimio la kusitisha ununuzi wa engine za Urusi ili Marekani waanze kutengeneza zao ikaonekana gharama zmya kununua Ni nafuu kuliko kutengeneza,sikujua tena ule mjadala uliishia wapi.

Mkuu hizo simulation hazikua labda za kutumia computer Bali ilikua ni mazoezi kamili ya kijeshi ambapo S-300 ziliwashwa kabisa (Kumbuka Ugiriki ana S-300 alizonunua toka Cyprus baada ya kua na mgogoro na Uturuki)

Pia wayahudi kwenye SEAD operation Ni wazuri Sana(fatilia Operation Mole Cricket 19)
 
Mkuu hizo simulation hazikua labda za kutumia computer Bali ilikua ni mazoezi ya kijeshi ambapo S-300 ziliwashwa kabisa (Kumbuka Ugiriki ana S-300 alizonunua toka Cyprus baada ya kua na mgogoro na Uturuki)
Mkuu, Hapa sijakupata, inamaana Cyprus ni dalali wa silaha za Russia ama na yeye anatengeneza hizo S-300. Niweke sawa kidogo.
 
Mkuu, Hapa sijakupata, inamaana Cyprus ni dalali wa silaha za Russia ama na yeye anatengeneza hizo S-300. Niweke sawa kidogo.
Mkuu ni hivi,Cyprus alinunua hiyo mitambo ya S-300 toka Russia ili kuongeza ulinzi wake wa Anga dhidi ya Air power ya Turkey(Kipindi hicho Turkey na Cyprus walikua hawaelewani sijajua kwa Sasa kama bado Ni maadui).

Sasa baada ya Makubaliano ya Russia na Cyprus kukamilika kuInstall hiyo mitambo ndani ya Cyprus,Uturuki ikatishia kuivamia Cyprus na kuwaambia kwamba wakitaka hilo lisitokee bhas hiyo mitambo irudishwe ilikotoka (Russia).

Bhas Cyprus alichoamua ni kufanya Makubaliano na Ugiriki kwamba Cyprus iwape mitambo ya S-300 huku Ugiriki iwape Cyprus silaha nyingine tofauti na S-300.

Hivyo ndo Jinsi Ugiriki ilivyolamba Dili la kuipata S-300.

Huo mgogoro unaitwa Cypriot S-300 Crisis unaweza kuutafuta ukausoma mwenyewe zaidi.
 
Kama HIO S300 ni ivyo je S400 itakuaje

Here’s what the s-400 can do:
Track multiple targets
simultaneously.

Shoot down cruise missiles
(such as a Tomahawk missile).

Shoot down ballistic missiles,
jets and drones.
Be used against ground targets.

Launch rockets that travel at
10,000 mph.

Is also called the SA-21 Growler.

It is a fourth-generation
defense system.
Carry a mix of four missiles.

Launch a short-range, medium-
range, long-range and
extremely long-range missile.

Shoot down targets up to 19
miles high and 250 miles away.

Is a mobile system, mounted
on vehicles.

Shoot down 80 targets at once.

Network with radars to track
targets.
 
Nimeipitia, kumbe Turkey mkorofi. Yaani anataka awe mbabe peke yake pale Middle East ndiyo maana alikuwa anashirikiana na Daesh kuidhoofisha Syria.
Haha!! Jamaa mkorofi sana yule ndo maana haziivi na Israel maana wote mafahari,na kama ingekua Turkey sio ally wa US bila shaka wangeshazichapa na myahudi
 
ndo maana haziivi na Israel maana wote mafahari
Labda kwa sasa baada ya vurugu za kutaka kupinduliwa. kwenye sakata la hizo S-300 nchini Cyprus, Turkey, alienda kununua silaha za makombora ya surface to surface kutoka Israel pia alipeleka kwa siri marubani kadhaa wa ndenge za kivita wakafundishwe namna ya kuzibomoa hizo s-300. Isriaeli iliwafundisha namna ya kuzikwepa. Sasa sijajua kama Isreal alishindwa namna ya kuziingia ama la. Kwa hiyo inaonekana Turkey naye ni ndumila kuwili na mnafiki kama m-UK. Nadhani, Russia inatakiwa imchukulie kwa tahadhari sana Turkey.
 
Mkuu ni hivi,Cyprus alinunua hiyo mitambo ya S-300 toka Russia ili kuongeza ulinzi wake wa Anga dhidi ya Air power ya Turkey(Kipindi hicho Turkey na Cyprus walikua hawaelewani sijajua kwa Sasa kama bado Ni maadui).

Sasa baada ya Makubaliano ya Russia na Cyprus kukamilika kuInstall hiyo mitambo ndani ya Cyprus,Uturuki ikatishia kuivamia Cyprus na kuwaambia kwamba wakitaka hilo lisitokee bhas hiyo mitambo irudishwe ilikotoka (Russia).

Bhas Cyprus alichoamua ni kufanya Makubaliano na Ugiriki kwamba Cyprus iwape mitambo ya S-300 huku Ugiriki iwape Cyprus silaha nyingine tofauti na S-300.

Hivyo ndo Jinsi Ugiriki ilivyolamba Dili la kuipata S-300.

Huo mgogoro unaitwa Cypriot S-300 Crisis unaweza kuutafuta ukausoma mwenyewe zaidi.
Ila kumbuka huwa kuna kwa ajili ya Export na Kwa ajili ya matumizi ya Ndani. ZAa ku export haziwezi kuwa sana na za kutumia nyumbani. Hiyo iko hata kwenye Ndege. Usidhani ndege ambazo USA namuuzia Muisraeli ziko sawa na anazo tumia yeye hata kama ni Aina moja
 
Back
Top Bottom