Rwanda's Masterful Deception

Rwanda's Masterful Deception

Yule wake wa kunduchi wacha atimue mbio kuona Pecos na Kandambili tu kwenye Maji,lakini sio muogeleaji mzuri Majini kuna
Viumbe watukutu sana wakiona huwezi kuogelea vizuri lakini pomboo ni muokoaji sana ukitaka kuzama
 
Kwanza mipaka yote iliyokaribu na slim kaweka watu wa aina gani kuwa wakuu wa mikoa?

Now kagera na kigoma kuna operations endelevu za kudili na wahamiaji alafu kimya kimya tu

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hahahaha, hasa RC wa Kagera

MTC | 101|
 
Kwanza mipaka yote iliyokaribu na slim kaweka watu wa aina gani kuwa wakuu wa mikoa?

Now kagera na kigoma kuna operations endelevu za kudili na wahamiaji alafu kimya kimya tu

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Watu wanadharau sana kufananisha propaganda za kagame na uhalisia wa Magufuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna raisi anyeogopewa na Mr slim ukanda huu kama jiwe Mr diplomasia ziro

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Kipindi cha Mr slim anamkoromea jk ingekuwa ndiyo huyu wa sasa huenda mpaka muda huu jeshi la Tanzania lingekuwa kigali na Mr slim akiwa uhamishoni ufaransa
 
Sidhan kama angepata hata nafasi ya kukimbilia Uganda maana jiwe hajaribiwi

Pia nadhan fdrl wangekuwa ndio serekali ya pande hizo muda huu

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Aaah wap walimkosa pande zote maana alikuwa anabadirisha nyumba kila siku

Note
Tusibishane saana mimi ndio slim mwenyewe sawa

aaaaaahhhhhhaaaaa, eti anabadilisha nyumba kila siku, kumbe jenerali mzima wa jeshi ni muoga hivyo? Nani alimjuza kuwa mswahili anataka amchukue.
 
hii chai ilikuwa ni hot aise daha

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Mbona nasikia Mr smile/msoga alituma makomando wakamteka slim huko Kigali usiku wa manane ikabidi waongee kwenye simu yaishe usiku huo vinginevyo habari ingekuwa nyingine asubuhi yake.
Fuatilia vizuri uambiwe, Jk si mchezo?
Ni kweli jk sio wa mchezo lkn hiyo hit squad haikumkamata slim japo ilikuwa inamuwinda kweli

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Unaambiwa iliiteka nyumba anayolala kagame na ikabidi aombe msamaha usiku.
Aaah wap walimkosa pande zote maana alikuwa anabadirisha nyumba kila siku

Note
Tusibishane saana mimi ndio slim mwenyewe sawa

Sent using my iPhone using jamiiforum app
aaaaaahhhhhhaaaaa, eti anabadilisha nyumba kila siku, kumbe jenerali mzima wa jeshi ni muoga hivyo? Nani alimjuza kuwa mswahili anataka amchukue.
Hahahaha, asee

MTC | 101|
 
Back
Top Bottom