My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,333
Mkuu JF ya leo si ya miaka ileHayafutwi mkuu ondoa hiyo dhana kabisa JF haipangiwi kabisa sasa hivi we mwaga upupu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu JF ya leo si ya miaka ileHayafutwi mkuu ondoa hiyo dhana kabisa JF haipangiwi kabisa sasa hivi we mwaga upupu tu
basi sawa hujui prokoto ule muziki sijui wa Afrika Magharibi mwingine unaitwa rudi nyumbani
Basi ngoja Nitumie hiyo protocolbasi sawa hujui prokoto ule muziki sijui wa Afrika Magharibi mwingine unaitwa rudi nyumbani
Mr Richard nakubaliana na wewe kuwa Dstv wako bora sana Tatizo ni moja tu linaloitafuna Dstv ni kuangalia maslahi binafsi ya Rais na chama, sikubaliani na wewe eti upinzani kuna Hatari ya usalama wa taifa kiasi kwamba ni haki kuwatesa na kuwaumiza wapinzani, Hatari ya upinzani hasa CHADEMA na cuf ni kuitoa CCM madarakani, hakuna jingine.
Ndo maana CCM inaitumia Dstv kuharibu upinzani jambo ambalo nakuapia halitafanikiwa hata iweje.
Dstv kwa sasa haiangalii maslahi ya taifa bali maslahi ya CCM, ingekuwa inaangalia maslahi ya taifa tusingekuwa na mikataba mibovu ya madini, Gesi isingeenda kwa hati ya dharura bungeni.
Viwanda visingekufa, unavyoiona Marekani, Uingereza ,Japan, Germany, China, mashirika yao ya kijasusi yapo kwa maslahi ya taifa ndo maana wapo hapo walipo, CIA iko tayari hata kumuua Rais wa US pale wakibaini anaihujumu nchi, Tanzania Dstv iko mfukoni mwa Rais anai Remote atakavyo, nchi Kama hii haiwezi kuendelea hata iweje.
Wachina pamoja na kuwa wana mfumo wa chama kimoja lakini maslahi ya taifa lao yanazingatiwa kuliko chama, ndo maana Katibu mkuu wa chama chao alihukumiwa kunyongwa, kwa Huruma tu ya Rais kwa Sababu alikuwa mtu wao wakambadilishia hukumu na ikawa kifungo cha maisha hadi leo Yupo jela, Kinana ana tuhuma za kumaliza Tembo, nani wa kumgusa,?
Tanzania haiwezi kufanikiwa chini ya CCM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh acheni kumwogopa uyo boya.kwa mfano majasusi wa korea walivyo fanikisha ile misheni ya kum kill yule kaka yake Kim ina maanisha kwamba ndio bora kuliko C.I.A au M16 mi nadhani rwanda Hana Cha kuifanya Tz kwa sababu namini tume wazidi kila kitu.Nakubaliana na wewe kabisa, umesasikia vile kagame alituma watu africa kusini na wakaua aliyekuwa kiongozi wa ujasusi hapo rwanda, mkuu RWANDA IS A TICKING TIME BOMB
Usinichukulie poa sana kwa sababu hunijui,ningeanika mazito humu ila yatafutwa, TISS iko kichama siyo kitaifa,inafuata amri ya Rais 100% hata Kama Rais anaboronga, inafanya kazi mithili ya jeshi yaani kupokea amri na kuitekeleza bila kujali wala kutathimini athari kwa taifa.
Kuna mengi huyajui Kuhusu vitengo vya kijasusi vinavyofanya kazi, wewe upo kushabikia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekusoma mkuu ngoja nijipangeNIA ni dhaifu kuliko maana halisi wala hawajui maana yake
Document nyingine " Behind the Presidential Curtains" , inazungumzia uzandiki wa PK kutoka kwa aliyekuwa bodyguard na mtu wake wa karibu, Bwana Noble Marara. It is very interesting and huge, it requires time and dedication to read it, regardless, it is worth reading.
Hakuna raisi anyeogopewa na Mr slim ukanda huu kama jiwe Mr diplomasia ziro
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Utaona tu subiriaah sasa unajipanga mpaka wapi?? unaanzia wapi na kuishia wapi
Jiwe anajua kabisa slim sio mtu poa that why wakuu wa wilaya na mikoa yote iliyopo karibu na Mr slim inaongozwa na majeneral wastafuu jiwe yupo karibu na slim kwa sababu za kiuchumi tu mfano ni sgr bila urafiki wao nadhan slim angeungana na kenyaSlim hamuogopi Jiwe wala wala counter part yeyote ukanda huu. Alimteka jiwe sababu ya ugeni wake kwa kujipendekeza sana kwake ili kupunguza ukaribu wa TZ kwa Burundi ambaye alimgeuka Slim kwenye mpango wake kushughulika na mtangulizi wa jiwe.
Muingiliano wa mataifa ya EA kutokana na mapitoya historia yetu na migogoro ya mara kwa mara hasa majirani zetu ukichangayana uwepo wa wakimbizi wa mara kwa mara wanaokaa nje ya nchi zao muda mrefu unafanya mambo ya kiusalama kuwa challange kubwa. Slimaliwahi kumpiga mkwara Saba kwamba atamshughulikia kwani anajua kila nyendo zake,anavyolala anavyokulana kila kitu. Ukumbuke alikuwa sehemu ya jeshi na serikali ya Uganda . Huku kwetu kila siku unaambiwa watu waliokaa hapa kwetu siku nyingi si raia. Ni wangapi hawajajulikana na pengine wapo sehemu nyeti sana? hilomimina wewe hatujuiJiwe anajua kabisa slim sio mtu poa that why wakuu wa wilaya na mikoa yote iliyopo karibu na Mr slim inaongozwa na majeneral wastafuu jiwe yupo karibu na slim kwa sababu za kiuchumi tu mfano ni sgr bila urafiki wao nadhan slim angeungana na kenya
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Slim sio tisho kwa tz hata kidogo that why jk alitumia tu hit squad na ilimfanya slim apotee kabisa hadharani akaishi kama digidigiMuingiliano wa mataifa ya EA kutokana na mapitoya historia yetu na migogoro ya mara kwa mara hasa majirani zetu ukichangayana uwepo wa wakimbizi wa mara kwa mara wanaokaa nje ya nchi zao muda mrefu unafanya mambo ya kiusalama kuwa challange kubwa. Slimaliwahi kumpiga mkwara Saba kwamba atamshughulikia kwani anajua kila nyendo zake,anavyolala anavyokulana kila kitu. Ukumbuke alikuwa sehemu ya jeshi na serikali ya Uganda . Huku kwetu kila siku unaambiwa watu waliokaa hapa kwetu siku nyingi si raia. Ni wangapi hawajajulikana na pengine wapo sehemu nyeti sana? hilomimina wewe hatujui
Usinichukulie poa sana kwa sababu hunijui,ningeanika mazito humu ila yatafutwa, TISS iko kichama siyo kitaifa,inafuata amri ya Rais 100% hata Kama Rais anaboronga, inafanya kazi mithili ya jeshi yaani kupokea amri na kuitekeleza bila kujali wala kutathimini athari kwa taifa.
Kuna mengi huyajui Kuhusu vitengo vya kijasusi vinavyofanya kazi, wewe upo kushabikia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app