cyberspace
JF-Expert Member
- Jul 23, 2011
- 730
- 291
- Thread starter
- #61
Mr Putin , najua wewe ni Mnyarwanda, nadhibtisha hilo kutokana na maneno yafuatayo "Hakili" mtanzania ataandika "Akili" , "inchi " mtanzania ataandika "nchi" ,"vicwa" mtanzania ataandika "vichwa". Nimekufuatilia kwenye post zako za mwanzo nikatia mashaka Kiswahili chako. Kwanza karibu sana JF , hata member ship yako si ya muda mrefu. Pili unajaribu kumtetea Slim aka PK na hutaki azungumzwe, naomba atusaidie je ni kweli genocide ilifanyika kwa Watusi tu ? Wahutu haikufanyika kwao? Wakati genocide inafanyika kulikuwa na idadi kiasi gani cha Watusi walikuwa ndani ya Rwanda? Records mbali mbali zina onesha Watusi laki nane waliuawa hiyo namba ilifikiwaje ? Vigezo gani vilitumika kufikia hiyo idadi? Victorie Ingabire Umuhoza alifungwa kwa ku challenge dhana kwamba genocide ilikuwa kwa Watusi tu. Akadai inatakiwa Wahutu nao wakumbukwe. Kwa nini maneno haya yaonekane ni maovu na kosa la jinai wakati ni maoni ya kawaida na ombi la Victorie ili kuweka record sahihi? Je siyo kweli PK anajua kwamba kuyatambua mauaji ya Wahutu katika genocide kutafanya watu watake kujua vile vile:- Je ni nani aliwaua Wahutu hao ? Je ni Wahutu wenzao au PK na RPF yake? na Je ni idadi kiasi gani cha Wahutu hao waliouawa? Maana idadi ya Watusi inafahamika tayari. Mr. Putin msaada wako tafadhaliHamna hakili nyie unaona mnavyo mdisi rais wenu?mpenda raia,muchapa kazi!badla ya kumsaidia kuiweka Sawa inchi kama Vijana.inchi inakilakitu lkn generation hii vicwa maji tu.!
