Rwandan armed forces to be deployed in Mozambique

Hapo Kagame ataipiga Mtwara kwa mwamvuli wa magaidi. Tukielekea huko anatupiga kupitia Geita na Kagera. Hapendi kuona nchi imara jirani yake. Anajua fika Kikwete ni Rais kivuli wa Tanzania Sasa na hafurahishwi na hilo.
 
Nadhani hujamuelewa anachomaanisha, by my side nimeelewa anaichukulia Rwanda kama kenya na Al-shabab lkn hajui kuwa Rwanda wananchi wote wanajuana na ni ngumu mgeni kupenya
Naona na wewe umesahau kama hata Mwenyeji(Mnyarwanda) anaweza kutumika katika kutega hayo Mabomu huko Rwanda. Ugaidi ni suala la Finance tu,hakuna nchi ambayo mabomu hayawezi kulipuka endapo kweli Magaidi watapata mfadhili mwenye nia ya kuihujumu kiusalama.
 
Mazingira ya nchi ya Rwanda ni vigumu mno kufanya ugaidi pia wenzetu wa dini ya haki wapo kwa uchache saana na kuna uwezekano mkubwa Rwanda ndio ikawa nchi ya kwanza kwa kuwa na intelligence imara ya ndani

note
Rwanda hakuna ujambazi wala ukwapuaji
 
Back
Top Bottom