Msafara wa magari ya kijeshi ya JWT uliokuwa ukielekea Mashariki mwa DRC ulizuia nchini Rwanda ikidhihirisha mwendelezo wa chuki za rais wa nchi hiyo Paul Kagame kwa Tanzania.
Source: Gazet la Jamhuri
Kumbe JWTZ walishakuwa na access ya kupita Rwanda, sasa si walianzishe tu hapo hapo?
Baada ya kuzuia wakafanya nini?
wakasimama tu na kuanza kujipiga picha na techo fantom zao
Ni wakati muafaka kumpiga huyu Kagame maana tumechoka.
kichwani zitakuwa hazikutoshi wewe.Na muunga mkono Kagame kwanini wapeleke majeshi congo ?