East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,211
Rwanda yakata mbuga au Kigali yakata mbuga? Tumechoka mipicha yenu na habari zenu za Kigali anakoishi Kagame.Kigali ni sehemu ndogo tu ya Rwanda lakini kila siku ni kigali,kigali Kuaanzia mapicha hadi habari.Huko kwingine mbona habari zake na picha zake huwa hamuweki maruhuni nyie.Kigali si Rwanda na RWANDA si kigali.Rwanda ni zaidi ya kigali.