beery clean wengine huwa wanasikia tu
huenda uweke pichakwa waliopata wasaa wa kukaa rwa.nda na kujichanganya na ma lay men watakubaliana na mimi kwamba rwa.nda bwana ni pa ovyo mno,,, kujishoo shoo ndo kumewajaa,,, ukikaa mpaka wa rwanda na ko.ngo warwa.nda wanavuka kila siku na masufuria kichwani kwenda kuuza maziwa ya reja reja ko.ngo,,, ila rushwa kweli ni ndogo sana sana
umenilumbusha kipindupindu dar
vitu vinauzwa hovyo bila mpangilio kuanzai matunda maji juice hadi vyakula
divai mpya kwenye chupa chakavu