Rwanda yatuhumiwa 'kupika' takwimu za uchumi kwa manufaa ya kisiasa

Uko sahihi kabisa kwamba mawazo ya Kagame ndiyo yanayoongoza hata nchi yetu.
Tunafanana kila kitu na Rwanda kwa sababu hiyo wa Rwanda ndio ana rimoti ya wa hapa.
Huoni hata Ku poteza watu tumeiga huko? Mpaka wazee wa ccm wameliona hilo na kujutia kwa kuliona ni "ushamba"
 
Wanasahau kuwa pembe la ngo'mbe daima halifichiki
 
Naona ndugu yetu michombero wabongo wamekugusa
 
Na Rwanda kwa sasa ndiyo nchi pekee Inatumia misaada kutoka kwa wahisani na kuirudisha huko ulaya kuidhamini Arsenal
 
Mungu aepushie mbali kabisa
 
Wauwaji ya kimbari yaliyo tokea Rwanda hayaja wahi kutokea Tanzania na kamwe hayatakuja kutokea pamoja na changamoto nyingi tulio nazo.

Hivyo wala usipende kuilinganisha nchi yetu pendwa na Rwanda
 
Naona ndugu yetu michombero wabongo wamekugusa

Ni lini nilikuthibitishia au UHAMIAJI walikuthibitishia pasi na shaka kuwa Mimi siyo Mtanzania mwenzako upande nikiwa ni Mzaramo na mwingine nikiwa ni Mluguru? Kumbe Siku hizi Wazaramo na Waluguru siyo Watanzania bali ni Wanyarwanda?

Cc: Frank Wanjiru
 
Wauwaji ya kimbari yaliyo tokea Rwanda hayaja wahi kutokea Tanzania na kamwe hayatakuja kutokea pamoja na changamoto nyingi tulio nazo.

Hivyo wala usipende kuilinganisha nchi yetu pendwa na Rwanda

Bado hujajibu vyema Swali na naona unatangatanga tu hovyo kama Inzi wa Maliwatoni. Nakuuliza tena je Siku hizi nchini Tanzania Watu wa Makabila yangu Mawili ya Kiasili ya Zaramo na Luguru siyo Watanzania na wamegeuka rasmi kuwa ni Wanyarwanda kutoka nchini Rwanda? Nasubiri jibu langu tafadhali.
 
Kuanzia kupiga watu marisasi kitu ambacho ni kigeni hapa kwetu Tz.
Na kuchakachua data.
Vyote anatoa kwa dikteta Kagame.

Na atabadilisha katiba ili aendelee kutawala milele.
Wapiga ranli wake wapo stand by.

Na alishasema pale eapoti kuwa watakaokuja wataweza?

Yani anajiona anajua wakati yeye ndio worse presidente kuliko wote.

Bodi ya mikopo tu anatunyonga then anajiona awatu wanafurahia?

Aisee.
 
Kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake huko

Ukiona Mwanaume kama Wewe anawashwawashwa hivi kwa Sisi tuliozaliwa na kukulia Mikoa hii ya Pwani tunajua kuwa ana tatizo au kuna ' Mmimino ' fulani Mlaini na Mtamu anauhitaji ila anashindwa tu kuweka wazi au kujieleza ili wale ' Wamiminaji ' wamtunuku nao.
 
Ndugu yangu nakushauri uwe unasoma kwa makini. Nani kasema ujamaa? Tafadhari usiwe unaadika kama hujasoma tutakupuuza humu jukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…