Landcruiser
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,805
- 599
wakajenge nchi yao
Tokea Dr Slaa amekutema kabla kubadilisha mawazo na kumuoa Josphine roho inakuuma sana nani alikuambia utengeneze card za send off kabla?Watu kama dr. Slaa wanawapa hawa jamaa kiburi kuona kwamba kumbe kuna watanzania wanaovumilia ushenzi wao!!!
Huyu waziri angefafanua pia kauli za Kagame dhidi ya Kikwete, kwani ndizo zimechochea yote haya!
Watu kama dr. Slaa wanawapa hawa jamaa kiburi kuona kwamba kumbe kuna watanzania wanaovumilia ushenzi wao!!!
inasemekana kuwa Kagane anawasupport m23, naye anamtumhumu Kikwete kuwasupport FDLR. Kwa JK kupeleka majeshi ya kukabiliana na m23 ndio chanzo hasa cha bifu na PK. Je inawezekana hiki ndio chanzo cha mtafuruku huu?? Ushauri ulitibua tuu yaliyokuwa yamejificha chini ya meza?
Binafsi siamini kama ni ushauri tuu ndio uliyoyapelekea haya yote!!
wakajenge nchi yao
kuna shemeji yangu anafunga ndoa mwezi wa kumi,anaoa mnyarwanda na hapa sioni shida yoyote maana hatuwachukii.
Ninaona nia ya makusudi kupotosha hotuba na agizo la rais wa tanzania.
Agizo lilitolewa kwa wahamiaji haramu wote na sio kutoka rwanda pekee.kwa madai ya waziri huyo kama ni kweli,mbona ubalozi wa rwanda haujafungwa na balozi yupo na kuna wanyarwanda wanaishi kihalali tz kwa kufuata taratibu na sheria za nchi.kupotosha huku ndiko kutasababisha matatizo na pia angetumia wakati huu kuelezea kuwa kagame alimaanisha kwenye maneno yake ambayo yalikuwa ya kejeli kwa rais wa tanzania!!!!
Nasema haya ila bado nina bifu na jk na serikali yake kuhusu kuminya haki za raia tz,sikuungi wewe kikwete kwa yanayotokea tz ila mtu wa nje akikugusa basi lazima nipambane naye ili akuache nishughulike na wewe na hii nchi yetu uliyoamua kuiacha ikiwa vipandevipande huku soko la dawa za kulevya likishamiri na vitendo vya kiharifu huku waandishi wa habari wakiwa wanalazimishwa waweke plasta mdomoni la sivyo walazimishwe na serikali yako kama kwa kibanda.
Sina rais mimi ila nina nchi tu yenye mipaka yake ambayo kagame hawezi kucheza juu yake nikamuacha
Watu kama dr. Slaa wanawapa hawa jamaa kiburi kuona kwamba kumbe kuna watanzania wanaovumilia ushenzi wao!!!
hivi jina la mtoto wa slaa aliyezaa na mchumba wake wanaeishi nae, (yule aliyekuwa mke wa mtu) anaitwa nani huyo kichanga?
junia...
Kwani wewe hujui kuwa Ponda ni Mnyarwanda?Kama wauwaji wapo Rwanda.......................
kama wapiga risasi ni wanyarwanda...........................
Hakika wanyarwanda jana waliperfom wonders, kumbe shekhe Ponda alipigwa risasi na wanyarwanda.
Wauwaji na watesaji wakubwa ni ccm kikwete na serikali yake, Kamuulizen Ponda atawapa majibu sahihi siyo yenu ya
kishabiki na kubumba.
kwani waimanisha kuwa nia nikuwatimua wanyarwanda na sio wahamiaji haramu au? tafakari bana ndipo uchangie hoja.