Rwanda yalamba USD 228,000,000

Rwanda yalamba USD 228,000,000

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,628
Reaction score
5,425
Marekani imeipatia Rwanda Dola milioni 228 kwa ajili ya kupambana na HIV pamoja na malaria.

Pesa hizo ni sawa na Shilingi bilioni 600 za Kitanzania.

Tuache kiburi. Tupo katika dunia inayotegemeana. Kila nchi inaitegemea nchi nyingine.
 
Fidia ya migodi US amekwapua huko DRC ambayo ilikuwa inashikiliwa na Rwanda kwa mgongo wa M23
 
Atawapelekea Arsenal aongeze mkataba wa visit Rwanda au Atretico Madrid hakuna kitu kinafanyika Rwanda bhana ila kama haujafika utadanganywa sana..mnyarwanda ukimwambia utamleta daslm anaweza asipate usingizi siku hiyo. wanaiamini daslm nadhani kuliko kitu chochote...
 
Atawapelekea Arsenal aongeze mkataba wa visit Rwanda au Atretico Madrid hakuna kitu kinafanyika Rwanda bhana ila kama haujafika utadanganywa sana..mnyarwanda ukimwambia utamleta daslm anaweza asipate using ili siku hiyo wanaiamini daslm nadhani kuliko kitu chochote...
Nchi jirani zote wanaikubali na kuishibokea dsm, hadi wakenya nao wanaikubali kinyama
 
Atawapelekea Arsenal aongeze mkataba wa visit Rwanda au Atretico Madrid hakuna kitu kinafanyika Rwanda bhana ila kama haujafika utadanganywa sana..mnyarwanda ukimwambia utamleta daslm anaweza asipate using ili siku hiyo wanaiamini daslm nadhani kuliko kitu chochote...
Kigali sio nzuri kuliko DSM? Isanga family
 
Hiyo oesa ni nyingi sana kwa nchi ya Rwanda, kwa kuzingatia ukubw wa nchi na idadi ya wananchi wake.

Rwanda kwa sasa inaonekana kuwekeza sana kwenye teknolojia. Hii Rwanda inaelekea kuwa centre of technology kwa East Africa.
 
who are you sasa
20251206_184735.jpg
 
Atawapelekea Arsenal aongeze mkataba wa visit Rwanda au Atretico Madrid hakuna kitu kinafanyika Rwanda bhana ila kama haujafika utadanganywa sana..mnyarwanda ukimwambia utamleta daslm anaweza asipate usingizi siku hiyo. wanaiamini daslm nadhani kuliko kitu chochote...
Mkuu mkataba unaisha 2026 na washalipwa!
 
eti wanaona China, Russia, na North korea zinamvinbia USA,
na wao wanaoimport mpaka chupi et wanavimba
Zile style za kuvimbiana mtaani uswahili ndo wanazileta kwenye inshu za kitaifa
 
Back
Top Bottom