Mambo 10 usiyo yajua Kuhusu Paul Kagame na serikali yake Rwanda
Kila alhamisi ya Mwisho wa Mwezi Rais husimamia kufanya usafi Nchi Nzima na Rais huonyeshwa Live akifanya Usafi .Hii ni sheria shughuli zote maduka yote hufungwa kwa zoezi la usafi hata Kama ni mgeni mpaka saa NNE
Barabara zote hupigwa deki kila mwisho wa week na wanajeshi
Kila Mwanafunzi anaye fika kidato cha kwanza anapewa Laptop
Msafara wa Rais hauzidi Magari ma Tatu
Ukigundulika umetoa au umepokea rushwa unatiwa ndani kwenye Mahakama Maalumu ya Rushwa Uchunguzi unafanyika ukiwa Ndani hilo halina Waziri au katibu mkuu au mfagizi
Paul Kagame amethubutu na ameweza kuzifuta Nyumba za Nyasi Nchi Nzima hamna nyumba za nyasi
90% ya watu wake woote wana huduma ya umeme majumbani mwao
90% ya barabara zake zooote zimejengwa kwa kiwango cha Lami Madhubuti
90% ya budget yake inajitegemea yenyewe bila kutegemea wahisani na ni mapato ya makusanyo ya ndani..Hana simile katika kodi hicho ndicho kwanza , mwekezaji ukitaka uondolewe nchini Siku hiyo hiyo kwepa kulipa kodi
Waziri wake woote wana ripoti kwa Raisi kila mwiso wa mwezi kueleza na kuonyesha usimamiaji wa shughuli walizo pewa na serikali
Amavubi,indeed Mr. Kagame has done a lot to improve the welfare of the Rwandese, granted.
But dont u think u guys are exaggerating his achievements a little too much?
It cant be true that up to 90% of the Rwandese are connected to electricity nor that upto 90% of the roads tarmacked.
My research indicates that only about 23% of Rwandan homes are connected to power, while there's an ambitious plan by the govt currently to connect upto 70% of homes to electricity by 2017.
I am not sure though about the total eradication of thatched houses in Rwanda (does that include thatched pubs and resorts as well? They are quite common even here in Nairobi, they are really classy.), in a country where an estimated 60% of the residents are living below poverty line.
Does the govt help purchase the alternative roofing materials which obviously their cost are beyond the reach of this pipo.
Swali nzuri sana hilo kwa wanaojificha nyuma ya ukubwa wa nchi, ifahamike China ni mara kumi ya Tanzania kwa ukubwa wa ardhi. Tafakari....
China is approximately 9,596,960 sq km, while Tanzania is approximately 947,300 sq km