mjadala unahusu Rwanda lakini pia kuwa nchi zote za hovyo (LDC) zitakuwa zimebaki Afrika tu ifikapo 2025. Kuhusu Rwanda sina uhakika sana chifu kama itakuwa huo uchumi wa kati mpaka 2025. Ila nnachojua ni kuwa wanapiga hatua sana kimaendeleo haswa uimarishaji wa mifumo ya kiserikali na yote kwa ujumla. Hivi unajua kwann Volkswagen wameenda kufungua kiwanda cha magari (assembly plant) Rwanda na sio hapa kwetu? pamoja na ukweli kwamba hawa warwanda hawana bahari itabidi vifaa vije mpaka mombasa(au Dar?) kabla ya kusafirishwa kwenda kwenye assembly Rwanda..Embu iwazie hiyo kiumakini kidogo utaelewa nazungumzia nn