Rwanda will still be least developed by 2025, says Unctad

angalia likes za thread/post zangu linganisha na za kwako ndio useme kama watu wana believe or not. Na btw interahamwe mama yako mzazi!
Likes unapata kutoka kwa interahamwe wenzako, pimbi mkubwa wewe
 
angalia likes za thread/post zangu linganisha na za kwako ndio useme kama watu wana believe or not. Na btw interahamwe mama yako mzazi!
Ukiona zinaanza kutukata ujue zimeishiwa. Hata ukisoma report za mashirika ya kimataifa just after 1994, halafu ukaangalia na hali halisi na maendeleo ya sasa utatambua kuwa huu sio uongozi wa kawaida. Labda nikwambie kitu kimoja. WE LOVE TO PROVE THE NAYSAYERS WRONG.
 
Kwahiyo unafurahia? Waafrika bana

news is news......... stop attacking the person who brought the news, tuko hapa kupata habari ni ww ku judge mengineyo au kwa vile haifuraishi kulingana na tambo za viongoz wao kua nchi iko vzr? wenzetu hawana blah blah kama unataka challenge the report
 
jMali huyo MTU unayebishana nae,hakika utaumia kichwa,hebu achana nae atakusumbua sidhani kama anaelewa unayomwambia.
 
1. Interahamwe baba yako.
2. Kwa hiyo interahamwe ni wengi sana hapa JF kuliko nyinyi?
Raisi "wako" mwenyewe anamkubali HE sembuse wewe..sitashangaa kama umetumwa huku kuja kujifunza how things are done.
 
Raisi "wako" mwenyewe anamkubali HE sembuse wewe..sitashangaa kama umetumwa huku kuja kujifunza how things are done.
ha! acha utani bana... kwani Interahamwe kesha pata uraia wa Tanzania? jMali knows how stuff works, ukabila ndio unamuharibia!
 
1. Interahamwe baba yako.
2. Kwa hiyo interahamwe ni wengi sana hapa JF kuliko nyinyi?
"nyinyi" kina nani? we bana unamatatizo! uinterahamwe wako ni crystal ball, wenye akili tunakusanifu tu kwani tangu mwanzo hadi leo ni kuponda tu, hakuna kizuri kwako! labda kiwe kimefanywa na Nkurumbi tena hata kama ni kibaya utakiita kizuri tu we bana shida kweli Mungu akusaidie ufie huko, huku hatutaki makanjanja kama wewe!
 
1. Sawa kama mama yako alivyo interahamwe as well.
2. Ndio mimi naponda kwa kuwa nyinyi mnasifu Rwanda kwa uongo na kuitukana TZ. Acheni kujilinganisha na bongo kwa propaganda za uongo, bakini na mauongo yenu bila kuihusisha bongo uone kama nitawaumbua.
3. Nifie wapi sasa? Saa hivi niko nyaru, nifie nyaru?
 
1. Hii ripoti haijatoka kwenye shirika la kimataifa?
2. Just after 1994 rais alikuwa nani vile? (swali la kizushi) unakubali kuwa na yeye alileta maendeleo?
3. Of course maendeleo lazima yawepo kwa sababu Kagame alisambaratisha nchi kwa vita, hata chizi anaweza kuleta maendeleo from zero!
 
Thick skin like your hero DJT sio? Can't handle the heat then get out of the kitchen
 
Ceremonial president alikuwepo. Umeelewa?
 
ufie Bongo ukimbizini! eti kuitukana Tanzania? acha kunitafutia maadui kwetu we Interahamwe! Bongo ndio nilipoona jua kwa mara ya kwanza na kukuwa kimawazo! kwa vyovyote tutakuwa tumepishana mpakani Rusumo! lakini uwe umepewa uraia au uwe umejipakazia mi sijali cha muhimu kama umeamuwa kutukwepa basi tuache na msalaba wetu tutajijuwa we nini kinakuuma wakati usharuka ukuta? sijapata kusikia au kuona mtu anayechukia kwao kama wewe! tabu kweli, eti Rwanda, wewe? acha bana!
 
1. shirika la kimataifa ndio malaika wa Mbinguni?
2. alikuwa Bizimungu! na maendeleo ya Rwanda yameletwa na wanyarwanda chini ya uongozi bora, we shida yako nini?
3. duh! hii kali! chizi *zero= maendeleo? we kweli Interahamwe mwitu, yani uko tayari kusema lolote kusudi uharibu tu? haya kila la kheri, subili tick za JustDoItNow
 
Nyie wanyarwanda mnatupigia kelele. Pelekeni ukabila wenu huko. Hizo terminologies za interahamwe pelekeni huko msituni. jMali endelea kuwaibua mambo yao. Mnajidanganya mnafikiri Magu anamkubali huyo Paka wenu, thubutu yenu. Tutawatandika mpaka mrudi tena msituni. nyambafu
 
Thank you very much, sasa tukianza mjadala wa kagame kawa rais miaka mingapi usianze kugeuka
Museveni ana miaka mingapi ya uraisi? Lazima tumfikie. Wewe relax and enjoy the ride
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…