Wewe apoNani anafurahia hao UNCTAD?
Wapuuzi tu hawa wazungu.. Ni wa kuwapuuza hali halisi Rwanda inaonyesha kinyume na huo upuuzi wanaoruhubiria
Upuuzi wao ndo uliowapa uwezo na akili ya kuja kututawala, wakachuma, na bado wanaendelea kuchuma kutoka kwa wenye akili Africa
vision 2020 ni projections sio guarantee, na hawa UNCTAD vile vile wametoa projections sio guarantee. Cha muhimu ni kuchambua nani kasimamia hoja yake vizuri.labda hukunielewa sana..nilikuwa namaanisha wanataka kutukatisha tamaa tu kwa maslah yao binafasi.angalia hii sentensi " In a report titled, The Least Developed Countries Report 2016, Unctad states that by 2025, Least Developed Countries (LDCs) will only be found in Africa" Wewe unaamini kuwa nchi kama Afghanistan ama Laos za huko bara Asia mpaka 2025 zitakuwa zimekimbia hili kundi la LDC?naweza kuendelea kukupa mifano ya mabara mengine..mathalani HAITI iliyoko marekani ya kati waijua?2025 wawe wamechomoka kwenye hili kundi?angalia hizi nchi uniambie ndani ya miaka tisa ngapi zitakuwa zimechomoka (Afghanistan, Bangladesh, Bhutan, Cambodia, Lao PDR, Maldives,Nepal,Timor-Leste,Yemen, Haiti). Hao jamaa weupe chochote wanachosema kuhusu sisi rudia mara mbili mbili kwanza kabla hujaconclude
Nadhani projections huwaga zinajikita kwenye uhalisia. Swali lilikuwa kwa projections hizo unazosema Afghanistan na hizo nchi nyingine zitakuwa zimekimbia hilo kundi? Mathalani Afghanistan wamekuwa kwenye vita zaidi ya miaka kumi sasa, so kwa miaka tisa ijayo vita itakuwa imeisha reconstruction imefanyika miundombinu imejengwa na vitu kama hivyo? Waelewa?vision 2020 ni projections sio guarantee, na hawa UNCTAD vile vile wametoa projections sio guarantee. Cha muhimu ni kuchambua nani kasimamia hoja yake vizuri.
Usiwe mnafiki. Kubali kuwa unafurahiaNani anafurahia hao UNCTAD?
1. Sijaelewa kwa nini unataka mtazamo wangu badala ya wewe kutoa mtazamo wako.jMali.
kwa kuchapisha bandiko hili unataka kutuelewesha kuwa wewe unakubaliana au la, na tamko la UNCTAD kuwa Rwanda pamoja na juhudi zote za makusudi inatwanga maji kwenye kinu licha ya mafanikio yanayoonekana kuja kwa kasi,yakiongozwa na ari na kiu ya maendeleo ya wanyarwanda wenyewe?. Binafsi ningependa kujifunza kutoka kwako na hasa maoni na mtazamo wako katika hili.
Naona unaanza kuwa desciple wa yule fala. Umeishiwa wewe.1. Sijaelewa kwa nini unataka mtazamo wangu badala ya wewe kutoa mtazamo wako.
2. Mafanikio yanayoonekana Rwanda ni yepi hayo? Maana sababu ya kuleta bandiko kama hizi ni kuwaumbua "watani" zangu fulani ambao hawaishi kuipamba Rwanda kwa 'fake news' ambazo hupotosha baadhi ya watanzania na dunia nzima kwa ujumla juu ya 'maendeleo' ya Rwanda. Hebu tusaidie ni wapi ambapo UNCTAD wamedanganya kwenye hio ripoti yao kinyume na hali halisi unavyoijua wewe.
Lakini tunaongelea Rwanda, wacha hizo zingine je unaamini kuwa Rwanda itakuwa kwenye uchumi wa kati ndani ya miaka mitatu ijayo? Huo ndio mjadala.Nadhani projections huwaga zinajikita kwenye uhalisia. Swali lilikuwa kwa projections hizo unazosema Afghanistan na hizo nchi nyingine zitakuwa zimekimbia hilo kundi? Mathalani Afghanistan wamekuwa kwenye vita zaidi ya miaka kumi sasa, so kwa miaka tisa ijayo vita itakuwa imeisha reconstruction imefanyika miundombinu imejengwa na vitu kama hivyo? Waelewa?