Rwanda: Viwanja vya ndege kufunguliwa Agosti

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Serikali ya Rwanda imetangaza kuwa viwanja vya ndege nchini humo vitafunguliwa mwanzoni mwa mwezi Agosti mwaka huu

Wasafiri wote watatakiwa kuonesha vipimo vya COVID19 kuthibitisha hawana maambukizi. Vipimo vinatakiwa kufanyika ndani ya saa 72 kabla ya kuingia Rwanda

Imeelezwa kuwa, wasafiri hao watapimwa tena wakiwasili nchini humo na majibu yatatolewa ndani ya siku moja. Katika kipindi hicho, watatkiwa kukaa hotelini kwa gharama zao

Rwanda ilisitisha safari zote za ndege mwezi Machi kufuatia mlipuko wa COVID19. Nchi hiyo imerekodi visa zaidi ya 1,000

===
Rwanda on Saturday announced that its airports will reopen for scheduled commercial flight operations at the start of August.

In March, Rwanda suspended all incoming and outgoing commercial passenger flights, only allowing cargo and emergency flights to operate, due to the COVID-19 pandemic.

In a statement, the Ministry of Infrastructure said that all passengers, including those in transit, will be required to show proof of a COVID-19 PCR negative test from a certified laboratory. The papers of tests must indicate that they were taken within 72 hours of arrival in Rwanda.

“To ensure the safety and health of passengers, crew and staff, airport operations will adhere to guidelines developed by the Ministry of Health and recommendations of the ICAO Council on Aviation Recovery Taskforce,” the statement said.

The ministry added that passengers coming into Rwanda will have a second PCR test done on them. The results will be made available to them within a day during which they will board at designated hotels at their own cost.

The news is the latest move by Rwanda to gradually reopen its economy following an announcement in mid-June that saw the re-opening of tourism activities and a resumption of international travel for charter flights. At that time, too, the Rwanda Airports Company also opened up the Kigali International Airport for private and chartered flights.

The announcement will be welcome news to the national carrier, RwandAir, which was also adversely affected by the disruption of air travel. In April, RwandAir announced that it will slash the net salaries of its staff by between 8 percent and 65 percent as part of measures to cushion it from the adverse effects of the pandemic.

Rwanda’s long-term vision is to become a regional aviation hub for both passengers and cargo in the region.

According to the Africa CDC, Rwanda has reported 1,063 confirmed cases, three deaths and 493 recoveries, as of July 3.
 
Rwanda wamefikia azimio la kufungua viwanja vya ndege mwanzoni mwa Agosti huku wakisistiza upimwaji wa virusi vya Corona kama moja ya kigezo cha kuingia nchini humo.

Rwanda ilisitisha huduma hiyo ya usafiri wa ndege zinazoingia au kutoka tangu mwezi Machi huku ikiruhusu ndege za mizigo tu kutua kwenye ardhi hiyo.

Hata hivyo wasafari wote watakaofika nchini humo itawalazimu kuonyesha majibu ya vipimo vyao vikionyesha kuwa hawana maambukizi ya ugonjwa wa Corona kutoka kwenye maabara iliyoidhinishwa.

“Kwa abiria wanaoingia Rwanda, watafanyiwa tena vipimo pindi tu watakapowasili, huku matokeo yakitolewa ndani ya saa 24 na katika kipindi hicho watakuwa kwenye hoteli zilizotengwa kwa gharama zao wenyewe,” serikali imesema
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom