MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,456
- 69,358
Hahaha tena ???Na yule dada kabadili jina
Hahaha tena ???Na yule dada kabadili jina
Anaitwa Denver sio Dada vinc kama awaliHahaha tena ???
Hahahahaha, kumbe ndiyo yeye.Anaitwa Denver sio Dada vinc kama awali
Wewe Msome vizuri utamjuaHahahahaha, kumbe ndiyo yeye.
Sasa mkuu kwani vibaya maana mhusika nilikuwa najiuliza kaenda wapi
Relax and enjoy your daySasa mkuu kwani vibaya maana mhusika nilikuwa najiuliza kaenda wapi
Umekumbuka nini Leo mkuu?Hahahahaha! Ila jamani Jakaya Kikwete alikiwa kichwa sana, basi tu asingeleta uswahiba kazini angetufikisha mbali sana.
Basi atakuwa ni muongo wa lejaleja... Huyu Den ni mtu wa Tabora na Dav ni mtu wa Kigoma hajafanikiwa kujificha.Anaitwa Denver sio Dada vinc kama awali