JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,513
Kuna Watutsi Humu Jamvini?
I hope watu wote wanaojisema ni wanyarwanda ni watusi.
Kuna Watutsi Humu Jamvini?
unafanya kosa kubwa sana na unapoteza muda wako kufikiri labda mimi ninaweze kuwa na asili ya Rwanda. kwa kukusaidia tu ni kwamba, baba yangu na mama yango wote ni wa mkoa wa njombe ambako hatujawahi hata kumwona mkimbizi mmoja wa kinyarwana au kirundi. most of us who argue here are tzs.Isingekuwa Kagame kuja kuwachomoa na kuwarudisha Rwanda mngekufa wote from cholera and stupid interahamwe waliokuwa wanawatumia as a human shield,nimeshasema mara nyingi NAZI hawakumalizwa by negotiating or sitting with them on the table,dawa yenu ni kuwatandika from all fronts with no mercy mbwa wakubwa nyie.
unafanya kosa kubwa sana na unapoteza muda wako kufikiri labda mimi ninaweze kuwa na asili ya Rwanda. kwa kukusaidia tu ni kwamba, baba yangu na mama yango wote ni wa mkoa wa njombe ambako hatujawahi hata kumwona mkimbizi mmoja wa kinyarwana au kirundi. most of us who argue here are tzs.
Mbona we sikuji humu kwenye Forum au ndio vile vijoka vipya vilivyoibuka wakati niko likizoni? Eti wewe ni wa Njombe na unahsira na Rwanda na hata huwajui ni watu gani? Kwanini? Au ndio chuki binafsi? Wee kweli wa Njombe yani watu hata huwajui halafu wanakutia hasira hivyo? Kweli Jmali anajuwa kujieleza wakati wakuuza sumu zake, hata wasio husika zimewakolea? Hv huko Njombe mambo yamekaa sawa, huduma zote karibu Yani, malaria, kichocho, utapia mlo na mengineyo msharekebisha, mazeluzelu wanalala na kukotoma? Kama ni hivyo basi unasababu zoite zakumsaidia jirani!
hahahaha. bwana Hute hao ndio watutsi extremists ndugu yangu, full mashauzi. Yeye kajiunga Jamii Forum october 2014, anakuchimba mkwara mtu uliyejiunga tangu 2010! eti "mbona sikujui?" duh! what logic is this?
cc: Kishimbe wa Kishimbe JustDoItNow
ndugu punguza hasira, rudi kwenye topic, genocie was not only against tusi, was also for hutu. hakuna genocide against tusi 1994, kwasababu ilijumuisha pia hutu na ni hutu zaidi waliokufa zaidi ya watusi. mmeudanganya ulimwengu kwa muda, mmetumia hela nyingi kuudanganya ulimwengi hadi watu wameandika vitabu na kuchukulia topic yenu ya uongo masters an phd, kumbe ulikuwa uongo mtupu ambao umeshajulikana. sasaivi dunia nzima inajua kilichotokea.Mbona we sikuji humu kwenye Forum au ndio vile vijoka vipya vilivyoibuka wakati niko likizoni? Eti wewe ni wa Njombe na unahsira na Rwanda na hata huwajui ni watu gani? Kwanini? Au ndio chuki binafsi? Wee kweli wa Njombe yani watu hata huwajui halafu wanakutia hasira hivyo? Kweli Jmali anajuwa kujieleza wakati wakuuza sumu zake, hata wasio husika zimewakolea? Hv huko Njombe mambo yamekaa sawa, huduma zote karibu Yani, malaria, kichocho, utapia mlo na mengineyo msharekebisha, mazeluzelu wanalala na kukotoma? Kama ni hivyo basi unasababu zoite zakumsaidia jirani!
Ila mwisho wa misumu yako unaomba mungu aibariki nchi yako Rwanda,ndugu punguza hasira, rudi kwenye topic, genocie was not only against tusi, was also for hutu. hakuna genocide against tusi 1994, kwasababu ilijumuisha pia hutu na ni hutu zaidi waliokufa zaidi ya watusi. mmeudanganya ulimwengu kwa muda, mmetumia hela nyingi kuudanganya ulimwengi hadi watu wameandika vitabu na kuchukulia topic yenu ya uongo masters an phd, kumbe ulikuwa uongo mtupu ambao umeshajulikana. sasaivi dunia nzima inajua kilichotokea.
hatukatai kuwa watusi hawakuwa targeted, walikuwa targeted na waliuawa wengi sana selectively lakini idadi kubwa ya waliokufa ni wahutu moderate, na wahutu watoto na kina mama kwenye makambina waliokuwa wanakimbia, RPF walikuwa wanawaua kwa hasira, ndugu yenu kayumba nyamwasa amekiri hivyo na yupo tayari kutoa ushahidi.
zaidi ya yote, congo wamekufa watu zaidi ya milioni 5, wengi kuliko wa 1994 genocide, na kagame kuna siku atalipwa mshahara wake kama sio na walimwengu basi na Mungu mwenyewe. hakuna lisilo na mwisho. Mungu ibariki Rwanda.
my friend, don't waste your time, i am neither tusi nor hutu, i thank God my origin does not trace in Rwanda. hivyo hapa tunaongea tu, Mungu ni shahidi yangu sina hata damu ya kitusi wala kihutu hata ya kusingiziwa sina.Ila mwisho wa misumu yako unaomba mungu aibariki nchi yako Rwanda,
Sibishani na wewe na misumu yako! ninachofanya ni kukuelemisha ukitaka chukua kama hutaki acha.Kagame lazima mumchukie kwani kawashika pabaya juzijuzi UN wamefunga file "Genocide against the Tutsi" kinachoniuma mimi nikwanini msububiri UN iwakumbushe mlichofanya? Hayo mambo ya sijui Hutus Tutsi or whatever kufa vitani ni matokeo tu na ndio maana haiko recognized kama Genocide, yalikuwa matokeo ya vita lakini Genocide inayosemwa ni pale mlipoomba vitambulisho kabla yakuua, na mlipomalizana na wenye vitambuylisho mkaanza kuangalia ulefu na pua na ndio maana nasema mtakujakuta mliuwa hata binamu zenu kisingizio eti ulefu! Huko kongo nakwenyewe sisi hatukuomba vitambulisho! Tulitoa kibano mpaka Kinshasa, tatizo lenu mnakimavi sehemu yoyote mlipo mnatuvutavuta mpaka tuwafwate we ngoja na Congo inawezekana tukarudi tena, ndio mtajua Kagame ni nani we ngoja mwakani
my friend, don't waste your time, i am neither tusi nor hutu, i thank God my origin does not trace in Rwanda. hivyo hapa tunaongea tu, Mungu ni shahidi yangu sina hata damu ya kitusi wala kihutu hata ya kusingiziwa sina.
ila ninakuonea huruma kama unasema kuna desa limeshafungwa UN la genocide against tutsi, kwasababu ukweli ukijulikana hilo desa litatupwa dustbin na vitabu vy oote duniani vitaandikwa upya, aibu ya kagame itadumu milele kwenye vitabu vya historia ili wanadamu wajao wasijefanya makosa ya kudanganywa kama walivyofanyiwa na kagame. ukweli ni kwamba, watusi wengi waliuawa, it was genocide, lakin wahutu wengi pia waliuawa na RPF and that was genocide as well. vilevile wahutu wengi walifuatwa congo makambini na msituni wakauawa na bado wanauawa selectively, hiyo pia ni genocide, and as for crimes against humanity, kagame yeye mwenyewe kwa kutumia jeshi lake ameua directly and indirectly kwa kutumia proxy rebels kuua watu zaidi ya milioni 5 eastern congo. huo ndio ukweli utakaokumbukwa milele na hakuan wa kuubadilisha kwasababu dunia nzima imeshajua. ukitembelea mitandao yoote duniani hii documentary wanaijadili na watu wana hasira sana kuona wamedanganywa hasa kwa nguvu za marekani na uingereza. this is what we are talking here, hatujadili tu hovyohovyo.
ninaiombea rwanda ndio kwasababu nawaonea huruma wanyarwanda wengi ambao hata hawana hatia lakini wanapata shida kwasababu ya paka.