RWANDA: RWASAT1, Satellite ya pili kurushwa

RWANDA: RWASAT1, Satellite ya pili kurushwa

Mr Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2019
Posts
517
Reaction score
524
A satellite built by three Rwandan engineers and a team of Japanese at Tokyo University, Japan will be launched into orbit next month.

According to Takayoshi Fukuyo, one of the developers, the HTV-8 "Koutonori 8", a cargo ship which stores RWASAT-1 was captured by the robotic arm of the International Space Station on September 28.

RWASAT-1 is a mini satellite, commonly as CubeSats. These are tiny satellites that are deployed into low earth orbit from where they can send information to ground stations.
 
Attachments

  • IMG_20191008_205726.jpg
    IMG_20191008_205726.jpg
    22.4 KB · Views: 2
Rwanda wanaendelea kufanya vizuri katika nyanja ya Elimu Barani Africa, huo ndo ukweli
 
Rwanda wanaendelea kufanya vizuri katika nyanja ya Elimu Barani Africa, huo ndo ukweli
Mafanikio Ni ya nchi au individuals?

Mfano kwenye univercity ranking ya vyuo vikuu Bora Afrika vya Rwanda vinashika nafasi ya ngapi kwa ubora?
hata kwa Afrika mashariki tu vya rwanda vinashika nafasi ya ngapi kwa ubora?
 
Mtazamo wangu niliuweka kwa kuzingatia impact ya Elimu wanayoipata hawa jamaa, wanajaribu kudhubutu kufanya issues ambazo pengine hata cc mataifa mengine tungedhubutu kufanya tungekuwa mbali zaidi, hii haina mana kwamba mataifa mengine hatuwezi kufanya no tunaweza sana , lkn tatizo hatuna udhubutu.
 
Viongozi wenye malengo yao, sio sisi tunaojenga viwanja vya ndege vya kisasa huko vijijini kwa wasiokua hata na maji safi wala kuijua kesho yao.
 
Mtazamo wangu niliuweka kwa kuzingatia impact ya Elimu wanayoipata hawa jamaa, wanajaribu kudhubutu kufanya issues ambazo pengine hata cc mataifa mengine tungedhubutu kufanya tungekuwa mbali zaidi, hii haina mana kwamba mataifa mengine hatuwezi kufanya no tunaweza sana , lkn tatizo hatuna udhubutu.
Dhubutu = Thubutu
Cc = Sisi
Lkn = Lakini
 
Rwanda naona wameamua kugeukia technologia na kuifanya muhimili wa uchtmi wao
 
Back
Top Bottom