Rwanda ranked 2nd in internet speed

Rwanda ranked 2nd in internet speed

Hiyo ya Tanzania, mnhhhh! Ni mtandao upi unakupa angalau 5 Mbps? Labda ya private. Hii ya public? Sijawahi ona.

FaizaFoxy,
That is the issue you should rise to your boy at Magogoni since you always prize him on your comment.
 
Sisi watanzania tuwe makini tusidanganywe na Nterahamwe waliojaa Jamii Forum. Kama Rwanda wamefanya vizuri why all the hate? Malawi wameigiza ile project ya Kagame ya One cow per household kupunguza umasikini. Hao nterahamwe wanaotudanganya wanaipinga eti Kagame anataka kuwageuza Wahutu kuwa wafugaji kama Watusi wakati wana poverty economists duniani wanakubali inasaidia sana kupunguza umasikini (extreme poverty).

Mkuu...hapo kwenye nyekundu utakuwa unawaongelea Jmali, Mokala1989(aka Majeshi 1981), Rushasha just in case you want to know their Pseudonym
 
Mkuu...hapo kwenye nyekundu utakuwa unawaongelea Jmali, Mokala1989(aka Majeshi 1981), Rushasha just in case you want to know their Pseudonym

usimpomtag mtu properly maana yake unam-snitch. kama vile kagame alivyokuwa ana snitch kupitia RichardGoldston.
 
Last edited by a moderator:
Rwanda always planning, planning, planning.....
 
usimpomtag mtu properly maana yake unam-snitch. kama vile kagame alivyokuwa ana snitch kupitia RichardGoldston.

Wewe hakuna haja ya kuku tag. Unalala kwenye JF so there is no need. Nimeona Thread yako ya saa nane za usiku when at that time of night i and all rwandese were sound asleep huku milango yetu ikiwa wazi kwa jinsi tunavyoiamini serikali yetu kutulinda wewe ulikuwa unaanzisha thread nyingine ya kipuuzi. Your obsession with Rwanda will result in you being Schizophrenic with Rwanda. Dimwit
 
hahaha, unadhani niko wapi?
 
hapo nadhani kuna vitu kama host number,network traffic and available bandwidth inabidi kuviangalia mana population ya RWANDA ni ndogo sana kuliko TZ so hata wakiwa na bandwidth sawa na ya TZ bado kwao itakua ni fastest speed kulingana na namba ya users waliokua nao.
hongera sana kwa kujua ukweli.
 
Back
Top Bottom