JustDoItNow
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,967
- 1,513
wewe inyenzi unadhani ukirudia rudia uwongo ndio historia itabadilika iwe unavyotaka wewe? you are dillusional.
lete statics zinazosema eti 99% of refugees are back, wakati UNHCR yenyewe imewahesabu majuzi tu kutokana na international community pressure. As for hao "ndugu zangu" ambao actually ni ndugu zako wenye kesi, well, mention kesi moja tu ambayo mhusika ni member wa FDLR kuhusu genocide or whatever in Rwanda, ukishindwa basi wewe inyenzi jike!
We tanzanians are only concerned with disarming them, na hilo litafanikiwa, as wether wanarudi Rwanda au wanaenda wapi hilo tutaangalia. All in all tunajali amani ya DRC. Hiyo mipaka yenu mtajiju, you don't call the shots. By the way keep on provoking us uone kama tunashindwa kuwasaidia openly tukafungua makambi morogoro kama tulivyowasaidia ANC mbele ya baba yenu marekani! Keep on abusing Tanzania's diplomatic stance muone tukibadilika rangi tunakuwaje. Tukiamua kuwasapoti hao FDLR ndio mwisho wenu forever, bora muongee nao tu wenyewe.
That is reality jmali. Wanafikiri sisi labda ni wanafiki kama kenya na mpambe wao Uganda. Eti Kagame kaweka jeshi la taadhali uganda. It is nonsense. Uganda tulishawa conquer zamani. SA ni watu wetu, zimbambwe maswahiba.