masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,621
- 14,577
Hilo fumbo hata Kagame hawezi kulifumbua, until its too late!!!Ati nani kasema wanyarwanda hawawezi maamuzi magumu?
Rwanda wameamua kumuachia kiti cha urais, Kagame mpaka siku atakayotangulia mbele za haki.
Hayo ndo tunaita maamuzi magumu, ya kuhalalisha ufalme ndani ya Rwanda.
Leo Kagame aba miaka 58 na nasikia hakuna mtu wa kusema fyoko kwa miaka 17 ijayo!
Yaani mpaka Kagame atakapokuwa na miaka 75!!!
Sasa nani wa kubisha, Kagame ni Rwanda na Rwanda ni Kagame, hayo hayatuhusu sie wa nje ya mipaka ya Rwanda.
Tatizo litakalotokea ni vijana wadogo walio na miaka 25 au 30 leo nchini Rwanda.
Niaminini, baada ya miaka kumi tu wataanza kuuliza ni majuha gani waliwawekea mfalme Kagame ambaye ameanza kuota kibyongo kwa uzee!
Nkurunzina tulimwambia akakataa, sasa hivi anasema wamemloga .
Wale wananchi waliompenda na wakampa miaka mingine kuendelea na madaraka ya urais, nani kwapa maharage na sasa wanamrushia risasi?
Rule Kagame Rule! Rwanda is all yours.
Du!
Wachangiaji mnashindwa kuona the burning contradiction inherent!
Mleta topic unajulikana ni Kagame hater na huu utumbo wako peleka kwa interahamwe wenzako,Rwandese wameshaongea na Kagame ataendelea kuwa raisi
Ati nani kasema wanyarwanda hawawezi maamuzi magumu?
Rwanda wameamua kumuachia kiti cha urais, Kagame mpaka siku atakayotangulia mbele za haki.
Hayo ndo tunaita maamuzi magumu, ya kuhalalisha ufalme ndani ya Rwanda.
Leo Kagame aba miaka 58 na nasikia hakuna mtu wa kusema fyoko kwa miaka 17 ijayo!
Yaani mpaka Kagame atakapokuwa na miaka 75!!!
Sasa nani wa kubisha, Kagame ni Rwanda na Rwanda ni Kagame, hayo hayatuhusu sie wa nje ya mipaka ya Rwanda.
Tatizo litakalotokea ni vijana wadogo walio na miaka 25 au 30 leo nchini Rwanda.
Niaminini, baada ya miaka kumi tu wataanza kuuliza ni majuha gani waliwawekea mfalme Kagame ambaye ameanza kuota kibyongo kwa uzee!
Nkurunzina tulimwambia akakataa, sasa hivi anasema wamemloga .
Wale wananchi waliompenda na wakampa miaka mingine kuendelea na madaraka ya urais, nani kwapa maharage na sasa wanamrushia risasi?
Rule Kagame Rule! Rwanda is all yours.
Soma vizuri mada na uone the irony katika kumtengeneza "mfalme" Kagame!Huu ni upofu wakuona mbali unafikiri. Unafikiri wapo salama? Lahasha wametega boom ambalo even ten years 2come litalipuka. At list wangeachiana vijiti kuleta umoja wa kitaifa ila sasa wamefikiri umoja wao ni Kagame jambo ambalo sii kweli na mwisho lazima wajutie maamuz wameyafanya! Rwanda wamesahau histor na wanarudia yale yale yalisababisha wao kwa wao kuchinjana.
Hayo ni mawazo yako ambayo hayana tija.Mleta topic unajulikana ni Kagame hater na huu utumbo wako peleka kwa interahamwe wenzako,Rwandese wameshaongea na Kagame ataendelea kuwa raisi
Naona umeona mbali sana.Hii itakuja kuathiri Rwanda yenyewe, ikiwa kagame amekufa au kaondoka madarakani ataekuja atatawala bila kikomo Hapo ndio watajuta
na wewe vilevile ukileta vitu ambavyo umeviandika kama unakimbizwa na mtu watu lazima wakuone mzushi au unaupande unao egamia, kwani Germany ni ya Angela Merkel? unajuwa kachaguliwa mara ngapi? nashindwa hata kukuelewa, vijana wenye miaka kati ya 25-30 hawajuwi wanachokifanya? kama una hiyo miaka na bado unaishi kwa wazazi wako, nakushauri utimuwe mapema lasivyo utaendelea kutojiamini kwenye kila kitu utakacho fanya...Hayo ni mawazo yako ambayo hayana tija.
Ukishajiweka kwenye kona ya kukubali maoni toka kambi fulani tu, unajipunguzia uwezo wa kufikiri.
Ukikubali kufugwa , utafugika tu.
Hii itakuja kuathiri Rwanda yenyewe, ikiwa kagame amekufa au kaondoka madarakani ataekuja atatawala bila kikomo Hapo ndio watajuta