Unafikiri ni vita dhidi ya Burundi!!?Mkwara Kwa Burundi..... Ajaribu kumzingua kizimkazi aone shoooo yake.
Yaani Kagame aombe nchi ya kijinga na wajinga kama hii! wewe unamsikia huyo jamaa yule ni mnyarwanda mmarekani akili kubwa sana yule jamaa.Leo kajileta kwenye sherehe za mapinduzi akisindikizana na kaka yake M7,mimi mguu wake huu naona kama nikuja kuomba poo kwa namna fulani,maana kaona yupo kisiwani sasa
Sio wivu, PK anawafunza watu wake ubinafsi. Katika hali ya kawaida Kirwanda hakiwezi kuishi peke yake na kuanzisha bifu na majirani zake muda baada ya muda.Tuache wivu
HahahaaHana lolote huyo. Awachokoze JWTZ halafu aone atakavyo chakazwa. Hiyo Israel yenyewe nayo unayoisifia, siku zote inabebwa na kaka yake Marekani.
DuuhYaani Kagame aombe nchi ya kijinga na wajinga kama hii! wewe unamsikia huyo jamaa yule ni mnyarwanda mmarekani akili kubwa sana yule jamaa.
Yule ni kachero muwakilishi wa Marekani ukanda huu! unadhani ameongea hayo maneno hajui anchoongea? .
Yule hana akili kama za marais wenu hawa wakina Kisekedi na Ndayishimiye wakupenda machawa! Kagame anataka no iwe no na yes iwe yes yaani mkono wa chuma hana mda wa kubembelezana.