God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,067
Kwenda kule yeye ndio mwaume alieifikisha rwanda hapo ilipo.Kagame ni shetani wa democrasia wala si mtu wa kufumbia macho hata kidogo....
Mseven pamoja na udicteta wake alionao hajawai poteza watu kama alivyo kagame...
Kagame anawafata watu mpaka south Africa kuwaua ...
Huyu ni MTU hatari sana si wa kuchekea
Viongozi wasipokubali kukosolewa bora waachi madaraka mwisho wa siku watu wakikuchoka usitegemee kukumbuka mazuri yako....