Nchi nzima hakuna mtu anaefaa kuongoza wanyarwanda huu ni zaidi ya wazimu, wampe tu ufalme atawale milele
Huyu ndio Kagame alimtukama mitusi live baba rizone kwa kuropoka ropoka mambo asiyoyajua
Yameanza. Afrika Mashariki tuna matatizo. Mpaka sasa ni Tanzania (na Kenya) tu yenye utamaduni wa kubadili viongozi kila baada ya miaka5/10. Kwa mwendo huu hata Jumuiya yetu ina wasiwasi wa kudumu. Kumbuka msingi mkuu wa Jumuiya ni demokraxia na utawala wa sheria...unapobadili katiba kumlinda mtu ni kukaribisha uvunjifu wa shera.
Safi sana,semeni mnachotaka lakini numbers don't lie Kagame alichoifanyia Rwanda hakuna kiongozi yeyote wa Africa amemfikia na sasa under Kagame Rwanda is moving ahead na sitashangaa ikawa na uchumi bora kuliko nchi zote za Africa,jiandaeni kuanza kutafuta visa za Rwanda mkafanye kazi mpate maisha bora.
Ndiyo maana nimeiweka kwenye bracket kwa sasa they are yet to prove to us. Lakini at least Mzee Mwai Kibaki alizingatia muda wake wa uongozi kwa mujibu wa katiba yao.Kenya wameanza lini kuheshimu ukomo wa Uongozi? Nijuavyo mimi TanZania tu hapa Afrika ndiyo tunaheshimu Ukomo wa uongozi uliowekwa kikatiba!
Kenya wameanza lini kuheshimu ukomo wa Uongozi? Nijuavyo mimi TanZania tu hapa Afrika ndiyo tunaheshimu Ukomo wa uongozi uliowekwa kikatiba!
Tanzania bado mpo mbali sana kuifikia Kenya kwenye masuala ya demokrasia na siasa. Nyie bado mpo kwenye makucha ya chama kimoja hivyo hamjui chochote nje ya CCM.
Sisi tumethubutu na kwa njia za kidemokrasia kubadilisha uongozi wa vyama tofauti.
Katiba tunayo mpya ambayo haijachakachuliwa na tena bora Afrika. Nyie bado mnachezeana usanii, na jinsi mlivyo waoga, mmeruhusu kila kitu.