Rwanda MPs approve third term for Paul Kagame

Rwanda MPs approve third term for Paul Kagame

Mada inahusu Viongozi kuheshimu ukomo Uongozi uliowekwa kikatiba ndiyo nikasema nijuavyo mimi ni TanZania tu hapa Afrika ndiyo inaheshimu mpaka sasa hivi ukomo wa Uongozi tuliojiwekea Kikatiba!

Hayo mengine uliyoandika kuhusu demokrasia ya Kenya au TanZania ni mada nyingine kabisa unaweza kuanzisha uzi halafu tukutane huko!

Kwani ni wapi uliona kiongozi Kenya akikiuka ukomo wa uongozi kulingana na katiba ya Kenya, fuatilia historia ya Kenya upate kujitaarifu. Nimesema sisi ndio tunafaa kuigwa maana tumefaulu kufanya ambayo kwa wenzetu ni ndoto.
 
Kwani ni wapi uliona kiongozi Kenya akikiuka ukomo wa uongozi kulingana na katiba ya Kenya, fuatilia historia ya Kenya upate kujitaarifu. Nimesema sisi ndio tunafaa kuigwa maana tumefaulu kufanya ambayo kwa wenzetu ni ndoto.

Mambo gani hayo mliofanya ambayo ni ndoto kwa wengine? Kuuwana na kufukuzana kwa kuwa tu imetokea kuzaliwa sehemu ambayo siyo asili ya wazazi wako? Hiyo ndiyo unaita jambo la kuigwa na wengine?

 
Mambo gani hayo mliofanya ambayo ni ndoto kwa wengine? Kuuwana na kufukuzana kwa kuwa tu imetokea kuzaliwa sehemu ambayo siyo asili ya wazazi wako? Hiyo ndiyo unaita jambo la kuigwa na wengine?


Kila nchi ina ampungufu yake na mazuri pia, hata Tanzania ina mazuri na mabaya, hivyo usikomae na mabaya yetu tu. Kumbuka nyie kipindi cha uchaguzi huwa mnawanyofoa albino bila huruma, kitu ambacho sielewi vinahusiana vipi na demokrasia yenu.

Ukiweka pembeni mabaya kiasi unayoyaona kwetu, kuna mengine mengi mazuri ambayo bado ni ndoto kwa Watanzania. Kwa mfano tu, katiba mpya ambayo haijachakachuliwa ni jambo ambalo mnaota tu na hamjafanikiwa hata kukaribia.
Uongozi wenu bado upo kwenye chama kimoja na usanii mwingi, yaani rais wenu anachaguliwa na watu wachache wa CCM pale Dodoma, baada ya hapo mengine yote ni usanii mtupu. CCM wanawateua watu wachache kumchagua mtu mmoja miongoni mwa watangaza nia, halafu huyo mmoja anakua na uhakika wa kushinda urais. Nyie bado mbali sana.
 
Kila nchi ina ampungufu yake na mazuri pia, hata Tanzania ina mazuri na mabaya, hivyo usikomae na mabaya yetu tu. Kumbuka nyie kipindi cha uchaguzi huwa mnawanyofoa albino bila huruma, kitu ambacho sielewi vinahusiana vipi na demokrasia yenu.

Ukiweka pembeni mabaya kiasi unayoyaona kwetu, kuna mengine mengi mazuri ambayo bado ni ndoto kwa Watanzania. Kwa mfano tu, katiba mpya ambayo haijachakachuliwa ni jambo ambalo mnaota tu na hamjafanikiwa hata kukaribia.
Uongozi wenu bado upo kwenye chama kimoja na usanii mwingi, yaani rais wenu anachaguliwa na watu wachache wa CCM pale Dodoma, baada ya hapo mengine yote ni usanii mtupu. CCM wanawateua watu wachache kumchagua mtu mmoja miongoni mwa watangaza nia, halafu huyo mmoja anakua na uhakika wa kushinda urais. Nyie bado mbali sana.

Unachanganya mambo sana! Kila nchi ina mfumo wake na Dunia hii hakuna mwenye haki ya kusema kwamba mfumo wangu ni bora klk wako! Kama Kenya wana Katiba mpya TanZania hatuna hilo halimaanishi ya kwamba Kenya ni nchi ya kidemokrasia klk TanZania!

Kuna sababu kwa nini Kenya imetengeneza Katiba mpya nayo ni Vita iliyotokea mwaka 2007 ambapo watu wengi walipoteza maisha na wengine kuwa wakimbizi ndani ya nchi yao wenyewe na walikuwa wakiishi msituni hivyo kulikuwa na ulazima wa kuwa na Katiba mpya ambayo itazuia au kupunguza haya matatizo yasitokee tena mbele ya safari!

Hakuna nchi inayoandika Katiba mpya tu hivi hivi bila ya sababu, AK walifanya hivyo kwa sababu Apartheid iliisha, Ghana walitengeneza Katiba mpya kwa sababu walikuwa na Utawala wa Kijeshi hivyo kurudi kwenye utawala wa Kidemokrasia ni lazima waje na Katiba nyingine, Unyarwanda walitengeneza Katiba mpya kwa sababu walikuwa na Vita kubwa, sasa TanZania tuandike katiba kwa sababu gani? Kwa sababu tu Chama ABC kinataka kuwa katiba itakayowaingiza Madarakani?

Kuhusu kubadilisha Chama hakusemi chochote kuhusu demokrasia ya nchi, kuna nchi nyingi Dunia hazijawahi kubadilisha Vyama vya siasa na watu wanaishi vizuri tu kwa mf. Japani inaongozwa na Chama Kimoja kwa zaidi ya miaka 50 tangu serikali mpya ilivyotengezwa baada ya Vita Kuu ya Dunia, Singapore inaongozwa na Chama Kimoja, hata Malaysia inaongozwa na Chama Tawala tangu wapate Uhuru, hata Wazungu wenyewe Marekani ina vyama viwili tu vya Siasa ni kwanini visiwe vitano au kumi? Na kwanza Wamarekani wengi sasa hivi wanasema ni kama vile wanaongozwa na Chama kimoja kwa maana hakuna tofauti kubwa kati ya republican na democrats!

Hivyo sisi kutokuibadilisha CCM haimaanishi ya kwamba hatuna demokrasia bali ndiyo mfumo tulioamua kuutumia na WatanZania bado hawajauchoka kwani CCM inapata kura mpaka asilimia 80% ya kura zote zinazopigwa TanZania maana yake ni kwamba WatanZania ndivyo wanavyotaka kuishi sasa hakuna Demokrasia zaidi ya hiyo kuheshimu matakwa ya wananchi wanataka kuishi na mfumo gani!!

Na pia usisahau ya kwamba TanZania ndiyo nchi pekee hapa Afrika ambapo unaweza kutoka familia masikini na siku moja ukaja kuwa raisi wa TanZania kwa mfano mgombea wetu Magufuli alikuwa Mwalimu wa sekondari hana jina wala nini lkn amechaguliwa kuwa Mgombea Uraisi wa CCM, sasa Kenya ambapo unasema wana Demokrasia hilo linawezekana?
Kama wewe ubini wako siyo Kenyata, au sijui Odinga, Musyoka au Moi una nafasi ya kuwa raisi wa Kenya? Yaani Mwalimu wa ktk sijui Kakamega anaweza kuwaza kuja kuwa Raisi Kenya?

TanZania tumedhihirisha kwamba inawezekana hivyo kila Mtz hata mimi pia nina ndoto za kuja kuwa Raisi wa TanZania kwa maana INAWEZEKANA!

 
Barbarosa

Huna haja ya kujaza maneno mengi na humo ndani hamna points muhimu, unarudia rudia tu. Naomba uchukue fursa yako kujielimisha na mchakato wa katiba Kenya, tulianza hiyo shughuli hata kabla ya fujo za uchaguzi. Tulitoa maoni kama jinsi mlivyofanya juzi. Baadaye wakachakachua, kama jinsi imetendeka kwenu, ikaja kura ya maoni na tukaipiga chini hiyo rasimu. Ni hapo baadaye iliporekesishwa ndio tulipiga kura na kuikubali.

Hayo ya CCM kuwakalia kwa muda wote huo, labda nikuache tu kwa maana wakija hapa Watanzania waliochoka na huo uongozi, huu uzi utabadilika na kuwa mengine. Ninafuatilia sana mijadala yenu ya siasa na watu wa CCM kama wewe mna wakati mgumu sana.
 
Last edited by a moderator:
Nyie kalieni kuongea utumbo wenu kwenye jamii forum,Kama tatitizo lenu ni Kiongozi mwema simseme tu?nyie mnafurahiswaga na kuona watu wakichinjana,hivi Kagame alipo toka marekanani nakujitoa mhanga kwenye mapambano ulikuwa wapi?Hivi kagame alivyo simamimisha mauaji nakukomboa inchi ulikuwa wapi?Hvi kagame alipo warudisheni wakimbizi wote nakuondoa utofauti wote uliokuwa unakisili wewe ulikuwa wapi,hvi Rwanda imeendelea sasa hivi nimfano dunia nzima wewe uko wapi?? ebu acha choko choko zaku sisi wanyarwanda ndo tunajuwa umhimu wake.
 
AHAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!aibu iwakumbe, hayawi hayawi nayakiwa basi tanzania tutapokea wakimbizi wengi kutoka Rwanda!!!Sasa naona yamekuwa nasisi tunandelea kusukuma boli kama kawa!!!!!mkiwashwa mnibipu Kidoooooogo,nitaitikia!! mie ndo Doctor,fanyeni utafiti vizuri na definition ya Democracy utagundua kwamba uongozi na Ratiba ni vya raia,Mzee hajatuamlu ama kutuomba kubadilisha ratiba,sisi wenyewe(wanyarwanda)tunamuomba aendelee kutuongoza maana anatufaa kuzidi viongozi wote tuliowaona!!!!!nililyo kuja kupigana vitani watanzania walikuwa wakinikashfu eti mimi mkimbizi lakini sasa hivi nikija huko kikazi Gwaride tangia Asubuhi na mchana kutwa zitapigwa!!MHHHH, na badooooooooooo.
 
Hiyo kukili kiaina watu wanaonekana kwenda tofauti na gvmt's will huwa ni kitu cha kawaida toost of the top positioned leaders..........
 
Nchi nzima hakuna mtu anaefaa kuongoza wanyarwanda huu ni zaidi ya wazimu, wampe tu ufalme atawale milele

Guys, let us try to be objective on this. Let us not start name calling or any form of abusive language.
What does this mean

1, Rwandas' parliament. Is it a parliament, rubber stamp or a branch of RPF

2. What is wrong with Rwandese people? (don't they learn from other people's mistakes that letting "good" leaders stay in power for long will encourage bad ones to do same?

3. Are petitioners and parliamentarians doing any good for long term interests of Rwanda, or they are doing a long term damage to their country?

4. What will happen in Kenya or Tanzania if such thing has to happen? What is the difference between what is happening in Bujumbura? Ni kitendo kile kile kwa jina lingine au ni jina lilelile kitendo kingine?

Naona kuna kitu kimoja ambacho ni rahisi sana kutokea Rwanda, Burundi na Uganda, lakini kwa sasa ni kama kamwe haiwezi kutokea Kenya na Tanzania. Kuna nini hapa?
 
mnasubilia wakimbizi siyo???haaaa!mi kwanza naona hata akili yenu mataputapu kabisa,third term siyo tatizo kwangu mimi mnyarwanda,inakuuma wapi wewe kama nimtanzania????kama unahitaji wanariadha chukueni hao wa rafiki yenu NKURUNZIZA boya lenu!!!naona mnafurahishwa na kuona watu wanachinjana na wengine damu zikimwagika,nyie endeleeni kuimbia taifa kubwa tu huku viongozi wenu wakijinufaisha bila maendeleo yoyote,naona mmekaza mishipa mnasubilia kutuona tukikimbilia kwenu kwa sababu ya mhula wa tatu,Hahahaha...mtapasuka,tunajuwa tulipo toka,tulipo na tunakoelekea siyo wewe unakopeshwa viloba vya vibandani huko.
 
wanariadha na damu za Burundi havikutoshi--subilia tukimbilieni kwenu utapasuka kichwa.
 
Na hiyo ndio picha halisi ya viongozi wa kiafrika.....hata hao wanaoondoka madarakani huwa ni kwa shingo upande tu.........
 
Haijalishi? acha mizaha wewe

Nchi nyingi duniani zimekuwa na viongozi bora kuliko Kagame na wamefuata katiba.
PK hana exceptions zozote za kumfanya abaki madarakani.
 
Rwanda na Burundi wanatakiwa wawekewe vikwazo na Tanzania:
Mzigo wa wakimbizi ni uzembe na tamaa za viongozi wao
 
Rwanda na Burundi wanatakiwa wawekewe vikwazo na Tanzania:
Mzigo wa wakimbizi ni uzembe na tamaa za viongozi wao

Tanzania aiwekee Rwanda vikwazo? una comedy sana wewe.
 
Hivi bado tu tunaongelea East African Federation ikiwa uelewevu wa baadhi ya watu walio hiyo East Africa ni wa kijima namna hii?

Hii itakuwa kukaribisha migongano isiyo na muhimu. Ninaona sababu nyingi za kutokuwa na East African Federation ndani ya watu kama Kurunzinza, Kagame na Museveni, kuliko sababu za kuwa kwenye East African Federation.

Kama ni Federation basi angalau tuangalie SADC, japo South Africa nayo ni kikwazo kwa jinsi watu wake walivyo na mawazo primitive kuhusiana na watu nje ya mipaka ya South Africa.

Actually, afadhali tu tubaki Tanzania kama Tanzania, maana hata haka ka- Zanzibari kanatupa shida tupu.
 
Bongolander


Kwa kuongezea:

1. Kuwa katiba ya Rwanda iliyoweka ukomo wa madaraka ilitungwa wakati wa Kagame majuzi tu. Hawakulazimishwa na mtu yoyote kuweka ukomo wa madaraka. Leo iweje idaiwe eti wananchi wale wale hawataki kitu ambacho wao wenyewe walikuwa na busara na kukiweka? you are very right kwamba bunge la Rwanda limegeuzwa rubber stamp.

2. Mtu anaweza kujiuliza swali kama lako "what's wrong with Rwandans...". Lakini tuwaonee huruma, hayo sio maamuzi ya wananchi. Ni maamuzi ya wachache ambao wanafaidika na utawala wa Kagame. Ni kama vile uulize kwa nini wakorea kaskazini wanamuabudu Kim. Ukweli ni kuwa hawana choice, wanaishi kwenye dictatorship. Na hili linathibitishwa endapo utauliza wanyarwanda walio nje ya Rwanda na hawana mpango wa kurudi Rwanda, utashangaa mawazo yao ni radically different from "mawazo" ya mnyarwanda wa Rwanda. Kagame anatakiwa kuonywa kuwa repression kama hii inafanya njia pekee ya ku-reason naye iwe mapinduzi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom