Kazoezi ni kagumu ila kanawezekana. Kanawezekana kwa sababu kanahusisha maisha ya JK. Mnyarwanda 'mhamiaji haramu' yeyote atayesalia nchi atashukiwa na njama za Kagame kutaka kumhujumu JK. Wamefurushwa hata makada wa CCM basi ujue kuna hatari. Kwa sasa kung'ang'ania kubaki nchi kiharamu ni sawa na kununua kesi.Kazoezi haka ni kagumu kuliko tunavyokafikiria!
Nimependa uamuzi wa JMT wa kuwarudisha walio Haram kwao ili wawe halal ihuko.Jumuia ya kimataifa inajua wazi kuwa uhamiaji haramu haukubaliki na kama alivyoshauri rais wa JMT kuwa TZ inakaribisha wageni wote wenye nia njema wanaowekeza ama wenye shuguli zao kwa mujibu wa sheria,yule anayependa kubakia Tanzania au hata yule mtanzania anayependa kuwa nje ya tanzania anapaswa kuhalalisha uwepo wake mahala hapo.
Minister Mukantabana (C) talks to some of the returnees yesterday. Saturday Times/Stephen Rwembeho.
Government has assured Rwandans who have been kicked out of Tanzania since the beginning of this month of maximum support.
The assurance was given yesterday as a number of Cabinet ministers travelled to the Rusumo Border Post where they met those that had just crossed into the country before they proceeded to transit camps where the returnees are being temporarily hosted.
By yesterday, over 6,700 had been received by immigration officials on the Rwandan side of the border.
The ministers who travelled eastwards to show support to the deportees are; Seraphine Mukantabana, of Disaster Management and Refugee Affairs, Jaqueline Muhongayire of EAC affairs and Alivera Mukabaramba, the state minister in charge of social welfare.
Addressing hundreds of the returnees, Minister Mukantabana said that government was committed to resettle and integrate them into the Rwandan social fabric.
It is unfortunate that you were evicted in the manner we all know. But all Rwandans must know that their country can never get a substitute. Feel at home and be assured that you are loved by your leaders and fellow Rwandans, she said.
Mukantabana said that the most vulnerable among the victims would be identified and will be given special treatment from the authorities, adding that government will hold talks with their Tanzanian counterparts to see how those who lost their property can have their rights restored.
Children, pregnant mothers and those breast feeding will be accorded the necessary treatment. A nursery school will be improvised so that the children can go to school fixed and non fixed assets you left behind will be negotiated. We are optimistic that you will get your cows and other properties left behind.
Muhongayire said that the dismissal was contrary to the EAC integration spirit, but expressed optimism that the planned negotiations between member states would yield amicable solutions.
Xenophobia or any other sort of segregation is contrary to what the EAC stands for we advocate for common people with common objectives. The eviction of the Rwandans came as a surprise, we hope negotiations will work, she said.
The Tanzanians have termed those that have been evicted, who include those that have lived in the country for over five decades as illegal immigrants.
Nimependa uamuzi wa JMT wa kuwarudisha walio Haram kwao ili wawe halal ihuko.Jumuia ya kimataifa inajua wazi kuwa uhamiaji haramu haukubaliki na kama alivyoshauri rais wa JMT kuwa TZ inakaribisha wageni wote wenye nia njema wanaowekeza ama wenye shuguli zao kwa mujibu wa sheria,yule anayependa kubakia Tanzania au hata yule mtanzania anayependa kuwa nje ya tanzania anapaswa kuhalalisha uwepo wake mahala hapo.
kikubwa kuzingatiwa ni kwamba katika kutekeleza zoezi hili,sharti kuzingatia haki za binadamu na kuhakikisha mali za wanaorejea makwao zisihalibiwe au kudhurumiwa kwa namna yoyote.
nashauri pi kwamba mazungumzo ya pande zote baina ya nchi ya Rwanda inayoonekana kuwa mhanga mkubwa wa zoezi hili yalenge kurudisha uhusiano mwema badala ya kuwekeana viisho km vile kusubiliana kwenye pointi na 'kuHITIANA' kama ilivyo jitokeza hapo awali na kupelekea wengi kuhusisha zoezi hili linaloendelea na mahusiano hayo.vita vyovyote havitajenga uchumi wa nchi yeyote,wala havitamwathili kiongozi yeyote wa ngazi ya juu wa nchi hizi bali kinyume chake.
Mkuu, hapo pekundu pamenistua.....sikuwahi pasikia! unamaelezo mapana zaidi?Kazoezi ni kagumu ila kanawezekana. Kanawezekana kwa sababu kanahusisha maisha ya JK. Mnyarwanda 'mhamiaji haramu' yeyote atayesalia nchi atashukiwa na njama za Kagame kutaka kumhujumu JK. Wamefurushwa hata makada wa CCM basi ujue kuna hatari. Kwa sasa kung'ang'ania kubaki nchi kiharamu ni sawa na kununua kesi.
Ndo umesikia sasa! Unataka hata majina kabisa?Mkuu, hapo pekundu pamenistua.....sikuwahi pasikia! unamaelezo mapana zaidi?
Mkuu issue siyo ndogo kama unavyoichukulia! ujue wanaorudi kwao ukiwaona walivyo pale Rusumo utawaonea Huruma!! ni kama wanahofu wanaenda kuingia kwenye ile hali waliyoishuhudia miaka ya 50,90 na hasa 94!! wengi wanamchukulia PK kama chui ndani ya zizi la kondooMnaifanya issue kuuubwa wakati ni haki ya mtu kurudi kwao!
HApo ndipo nilipochoka mie ,watu hawataki kurudi kwao!mbona majanga hayaMnaifanya issue kuuubwa wakati ni haki ya mtu kurudi kwao!
Unataka leta mambo ya "kumpiga teke chura"!Nami ni mhamiaji haramu toka Texas US, nasubiri serikali ya Tz inirejeshe nyumbani.
Lakini spirit ya EAC si kujaribu kutetea illegal immigrants, propaganda, matusi na kejeli kwa kiongozi wa taifa jirani, nafikiri Wanyarwanda wenyewe ndio wanatakiwa wapime wenyewe kama gharama ya kuendelea na PK wanaweza kuilipa au la/Mkuu issue siyo ndogo kama unavyoichukulia! ujue wanaorudi kwao ukiwaona walivyo pale Rusumo utawaonea Huruma!! ni kama wanahofu wanaenda kuingia kwenye ile hali waliyoishuhudia miaka ya 50,90 na hasa 94!! wengi wanamchukulia PK kama chui ndani ya zizi la kondoo
ndo umesikia sasa! Unataka hata majina kabisa?