Rwanda M23 hoi Goma

Rwanda M23 hoi Goma

Joined
Sep 6, 2012
Posts
43
Reaction score
7
nimesoma kwenye forum ya kinyarwanda na japo hiyo lugha siielewi lakini mambo yanawaendea vibaya. Wanasema majeshi ya kongo na un wanatumia silaha kubwa sana na mabomu yanashuka kama mvua goma na ndani ya rwanda. askari wa rdf wameuawa wengi sana na wizara a ulinzi ya rwanda ina recruit watu kwa lazima waende vitani. report ya mwisho kwenye website hiyo ilikuwa jana saa tatu usiku. m23 walikimbia mapigano eneo la kibati. inasemekana kagame amejificha. nitaendelea kuwajuza.
 
nimesoma kwenye forum ya kinyarwanda na japo hiyo lugha siielewi lakini mambo yanawaendea vibaya. Wanasema majeshi ya kongo na un wanatumia silaha kubwa sana na mabomu yanashuka kama mvua goma na ndani ya rwanda. askari wa rdf wameuawa wengi sana na wizara a ulinzi ya rwanda ina recruit watu kwa lazima waende vitani. report ya mwisho kwenye website hiyo ilikuwa jana saa tatu usiku. m23 walikimbia mapigano eneo la kibati. inasemekana kagame amejificha. nitaendelea kuwajuza.

Mkuu,
Kagame si jana tu ameonekana "live" kupitia Citizen tv akiwa Mombasa-Kenya?

Amejificha wapi? Hebu tumwagie hapa hiyo link pls...
 
nimesoma kwenye forum ya kinyarwanda na japo hiyo lugha siielewi lakini mambo yanawaendea vibaya. Wanasema majeshi ya kongo na un wanatumia silaha kubwa sana na mabomu yanashuka kama mvua goma na ndani ya rwanda. askari wa rdf wameuawa wengi sana na wizara a ulinzi ya rwanda ina recruit watu kwa lazima waende vitani. report ya mwisho kwenye website hiyo ilikuwa jana saa tatu usiku. m23 walikimbia mapigano eneo la kibati. inasemekana kagame amejificha. nitaendelea kuwajuza.

Tupiamo hako ka-website tupate moja kwa moja za jikoni.
 
Kagame amejificha kwani hiyo vita ipo Kigali?
 
umudendezo-news.blogspot.com/?m=1#!
hiyo ndiyo link wanaandika kinyarwanda lakini sisi wabantu tunaokota okota
 
nakwambia hivi mabomu yanashushwa kama mvua ndani ya rwanda. anafuatwa adui anakotoka. walio goma hawana deal.
kagame alikuwa kenya jana na tulimwona, sasa hayo mabom si wangeshalalamika, pia mnasema amejificha wapi mbona jana tumemwona?
 
nimesoma kwenye forum ya kinyarwanda na japo hiyo lugha siielewi lakini mambo yanawaendea vibaya. Wanasema majeshi ya kongo na un wanatumia silaha kubwa sana na mabomu yanashuka kama mvua goma na ndani ya rwanda. askari wa rdf wameuawa wengi sana na wizara a ulinzi ya rwanda ina recruit watu kwa lazima waende vitani. report ya mwisho kwenye website hiyo ilikuwa jana saa tatu usiku. m23 walikimbia mapigano eneo la kibati. inasemekana kagame amejificha. nitaendelea kuwajuza.[#NIMEPITA ktk SITE SIJAAMBUA KITU MKUU!
 
marekani hawamwitaji tena kagame, wanahitaji rwanda na kongo iliyo na amani ya kweli.
 
[h=1]M23 To Address Press As DRC War Worsens[/h] The rebel M23 Movement's delegation for the peace talks in Kampala is Thursday expected to address a press conference following deadly ground and air assaults on their bases in Eastern Congo by the DRC forces (FARDC) and United Nations.
By Sam Waswa 16 minutes ago
thumbnail.php

M23 military leader, Sultani Makenga The leader of M23 representatives, Rene Abandi, told Chimpreports that the presser would be held at Commonwealth Resort, Munyonyo.

It is thought M23 will use the occasion to drum up more support for negotiations between the rebels and DRC government as the only solution to the crisis in Kivu.

Abandi and his group have been in Uganda since April for peace talks.

The DRC representatives who included Electoral Commission chief, Malu Malu were in Kampala for two days before returning to Kinshasha.

It is widely thought that President Joseph Kabila believes in the military option of eliminating the M23 threat.
files.php
Rene Abandi in Bunagana early this year
However, despite launching a series of air and ground attacks on M23 strongholds of Mutaho and Kanyarucinya, the rebels continue to give DRC troops and their UN counterparts a hard time.

On Wednesday the United Nations Mission in DRC (MONUSCO) supported the Congolese Armed Forces (FARDC) in launching an attack against M23 positions on the Kibati heights, north of Goma, in North Kivu.

M23 has been using these positions to shell its attackers.

"The objective of the MONUSCO-supported operation is to remove the threat against Goma," said the UN in a statement seen by this website on Thursday.

"The Mission has delivered mortar and artillery fire and engaged its attack helicopters, with the FARDC has used attack helicopters, battle tanks and ground forces. The operation is still ongoing."
files.php

UN peacekeepers in Kibati, Democratic Republic of the Congo (DRC). Photo: MONUSCO/Sylvain Liechti
A UN peacekeeper was killed and seven others wounded, according to the international body.

Sources said scores of Congolese troops were killed in the assault that lasted several hours and their bodies were piling up at a mortuary in Goma.

"I am outraged by today's killing of a United Nations Peacekeeper from Tanzania by the M23," Martin Kobler, Special Representative of the Secretary-General and head of MONUSCO, said in a statement.

In Goma, Mr. Kobler met with provincial administrative and security authorities, as well as UN military and civilian staff, to assess the situation on the ground.
files.php

Elite units of FARDC being deployed in Goma
Over the past year, the M23 have clashed repeatedly with the FARDC. The rebels briefly occupied Goma in November 2012.

The fighting resumed in recent weeks, with FARDC using elite force units to attack M23, this time dragging in a group of Ugandan-based rebels, and displaced more than 100,000 people, exacerbating the region's ongoing humanitarian crisis, which includes 2.6 million internally displaced people (IDPs) and 6.4 million in need of food and emergency aid.


- See more at: Chimpreports.com-Uganda News - M23 To Address Press As DRC War Worsens
 
Sijui kama mnakumbuka vizuri historia ya Tanzania. Kulikuwa na amani kiasi chake kabla ya Idd Amin Dadaa Nduli wa Uganda hajaanza fyokofyoko kwa Ng'walimu JKN. Kama kawaida Ng'walimu alimsikiliza tu kama hayupo hivi, akirusha kaneno kamoja kamoja. Amin akatafsiri hiyo kuwa ni udhaifu wa Tanzania. Alipoingiza kichwa kwenye ardhi ya Tanzania ndipo muziki mzito uliposikika na ndo ukawa mwisho wa Amin kuwa kibopa wa Uganda.

Somo wake Kagame naye anafuata nyayo pasipo kukumbuka ingawa alihusika na mambo ya Uganda kwa sana. Kile JK anachokisema mara moja moja kingemkumbusha Kagame. Lakini kafungua domo kama vile Kiboko majini anayedhani maji yota anaweza kuyakausha kwa kuyanywa. Tanzania wanazima adui kwa kumaliza chanzo cha adui na sio dalili za adui. Kaburu na Mreno wanaelewa sana hilo, japo damu za kitanzania zinapotea nyingi wakati wa zoezi hilo, na ingawa hatima yake ni kumaskinika zaidi kwa nchi. Kagame kuanza mzozo na Tanzania maana yake amechoka kuendelea kuwa mkubwa wa nchi yake na kuishi humo, anaisaka njia ya kuondokea kama Kaburu, Mreno na Amin walivyojipatia njia hiyo kwa mgongo wa Tanzania. Vita Kongo kweli haitaisha kama Rwanda na Uganda wapenda vita hawatasafishwa na kutakaswa kabisa. Hatima yake Tanzania itaendelea kujaziwa wakimbizi wa nchi hizo kuja kutuulia wafanyabiashara wetu na kupora mali asili zetu kwa mitutu nasi tubaki kulialia kila siku kwa kuuwawa kwetu.
 
Back
Top Bottom