Hapo neno 'Gigawatt Global' ni jina la kampuni ya nishati. Gigawatt Global |
Rwanda wamepiga hatua sana kimaendelea, sisi Tanzania tutabaki tu tunakashifu 'majina' ya kampuni zinazoitwa Gigawatt..!!
Hujui kusoma? megawatt unaitoa wapi
Watanzania why Ku discuss rwanda rwanda kuna kitu kinawauma juu ya hawa watu why..??? Wameweka solar kwa ajili yao Majungu hapa kwenu aibu Tupu
Hata ingekuwa watt, the point ilikuwa idadi yawaliofaidika.. by the way i am not the author of the story.
mnyarwanda hawezi kuniita mimi akili mgando, hadhi hiyo huna ya kumwita mtz, labda angekuwa mtu wa nchi nyingine. you are no bodies.
sasa kwa nini nilipokuambia habari imekosewa ukaleta ubishi wa kitutsi? by the way unajua maana ya "like"? mbona unafanya kila kitu ni ugomvi kati yangu na Rwanda? Nikukumbushe kuwa ugomvi wangu uko kwa kagame na serikali yake ya RPF sio wanyarwanda kama Taifa.
Acha mapovu thread imehaririwa, ilikuwa ni GIGAWATTS na aliyeposti alikuwa anasisitiza hilo! Angalia jibu lake hapa nilipomshushua, bado alikuwa anasisitiza kuwa ni Gigawatt na sio megawatt.
Original thread haijahaririwa.
Hamna ile text pale chini ya thread ya kuonyesha kuwa thread imehaririwa.
Original thread haijahaririwa.
Hamna ile text pale chini ya thread ya kuonyesha kuwa thread imehaririwa.
Hujui kusoma? megawatt unaitoa wapi
Hate zako kwa watutsi zitakumaliza mwehu wewe.
Mkuu, wacha kupoteza wakati wako na Interahamwe jMali! hivyo ndivyo tunavyo ishi nae... ana roho kama ya paka-shume, sema ipo siku mwenyee atakuja kutupigia hodi Kigali, wa hivyo tumewazoea, hata wenzake waliobarikiwa kurudi hivi wanapeta ndani ya Rwanda!!!
Unfortunately huwezi kuficha wewe ni nani, ingekuwa kweli ugomvi wako ni kwa Kagame na serikali yake ya RPF kama mwanasiasa then hili neno "Ubishi wa kitutsi" usingeliingiza humu.sasa kwa nini nilipokuambia habari imekosewa ukaleta ubishi wa kitutsi? by the way unajua maana ya "like"? mbona unafanya kila kitu ni ugomvi kati yangu na Rwanda? Nikukumbushe kuwa ugomvi wangu uko kwa kagame na serikali yake ya RPF sio wanyarwanda kama Taifa.
we are somebody, we hosted your tusi people since the revolution of the 1950s and 1994. we gave you place to sleep, plots to farm, education in our schools, toilets to shit in exchange of nothing. what has a Rwandan done to a Tanzanian since the creation of planet earth? just mention one!
Unfortunately huwezi kuficha wewe ni nani, ingekuwa kweli ugomvi wako ni kwa Kagame na serikali yake ya RPF kama mwanasiasa then hili neno "Ubishi wa kitutsi" usingeliingiza humu.
Chuki yako ni dhidi ya kabila na wala sio government system, hata Kagame akiondoka leo akaingia Rais mwingine mTutsi am sure ugomvi wako utaendelea vilevile.
Hii ndio tofauti yako na wachangiaji wengine kama Kibona etc.
you should be thankful that we hosted you, without that, hata icho kiswahili chako kizuri ungekuwa unakisikia kwenye bomba.Yeah you hosted us but you didn't expect us to be like you did you? We own our own destiny bwaaaay....nyie bakini na hizo sifa za ku host tu. haina shida.
Mkuu, wacha kupoteza wakati wako na Interahamwe jMali! hivyo ndivyo tunavyo ishi nae... ana roho kama ya paka-shume, sema ipo siku mwenyee atakuja kutupigia hodi Kigali, wa hivyo tumewazoea, hata wenzake waliobarikiwa kurudi hivi wanapeta ndani ya Rwanda!!!
Watanzania sijui kwa nini mnawapondea warwanda, hawa jamaa wana nafasi kubwa sana ya kuweza kulipuka kiuchumi zaidi ya mnavofikiri, pamoja na kua na eneo dogo sana jamaa wana population kubwa, they can handle themselves quite well, ni rahisi sana kuijenga Rwanda ambayo inalingana na kitu kama mkoa tu kwa Tanzania, ni rahisi sana kuweka services kibao within a small area, na ujue ukiunganisha watu 10Million wakawa na huduma nzuri ni rahisi sana nchi kukua, angalia mji kama Seoul ulivomdogo hata Rwanda kubwa, lakini una 10million people, umekuza sana uchumi wa nchi yao hadi sehemu nyingine zote zikanyanyuka. kuliko Tanzania population kubwa afu imegawanyika maeneo kibao wanabaki kujenga dar peke yake sababu huwezi kuwajengea hospitali na shule watu wapo 100km away afu wapo ka 10,000, ndo maana hata umeme wengi hawapati afu wengi wapo vijijini....
Sasa yoote hayo yanini si yanatuhusu nini mambo ya rwanda? waendelee kivyao tatizo dharau na na misifa wangeipeleka hukohuko rwanda