Rwanda launches east Africa’s first utility-scale solar energy project

Rwanda launches east Africa’s first utility-scale solar energy project

Look at those houses around the solar compound?hahaha. hiyo ndio developed Rwanda. is that area in kigali?
Hivi ni vijiji vya Rwanda, unaweza kupost picha ya kijijini kwenu?
 
Hivi ni vijiji vya Rwanda, unaweza kupost picha ya kijijini kwenu?
mheshimiwa, ninaweza kabisa nikapost, kijijini kwetu sio masikini kama hapo kwenye picha I tell you! na wala mama na baba yangu hawakai kwenye mabanda kama hayo kwenye picha. na sio kwamba tumewajengea sisi watoto wake, hapana, walijenga wenyewe miaka yao huko
 
Mzee wa Gigawatti, sasa unataka kudai nini? kuwa vijiji vya Rwanda ni bora kuliko vijiji vya TZ?

yep! na inategemea na ubora unaotaka wewe lakini kama utahusisha matibabu kwa wananchi, usalama bila kusahau mazeruzeru, zahanati zilizopo zero distance from where you live, kutohitaji kusafiri mpaka dar kusudi upate passport yani jMali nimechoka mi naona niishie hapo kama bado kunaunachtaka kujua kusudi urudi kwenu basi nakuomba unifahamishe please!!! na kama umelidhilika na majibu start to reconsider of coming back home and leave those uncontrolled territories...
 
hizi ndizo tunaziita akili mgando! kwa hiyo kwako ubora ni majengo? kama ni hivyo basi Somalia nayo ni bora zaidi na isingefutiwa deni la UN!!! kweli mabwege mmesomea...
 
Hujanielewa, haijalishi hata kama wazazi wako ni matajiri which may be true, lakini labda kama umezaliwa na kukulia mjini vinginevyo kama unajua vijiji vingi vya nchi yako, usinge post statement yako.
Huko kuna baadhi ya sehemu hata kupata nyumba ya bati inabidi utembee kms.
 
ah... bwana! acha utani kwani full suit bado zina exist Tanzania?
 
yep! na inategemea na ubora unaotaka wewe lakini kama utahusisha matibabu kwa wananchi, usalama bila kusahau mazeruzeru, zahanati zilizopo zero distance from where you live, kutohitaji kusafiri mpaka dar kusudi upate passport yani jMali nimechoka mi naona niishie hapo kama bado kunaunachtaka kujua kusudi urudi kwenu basi nakuomba unifahamishe please!!! na kama umelidhilika na majibu start to reconsider of coming back home and leave those uncontrolled territories...

...na hawa wahamiaji haramu wanakimbia nini huko?
 
hizi ndizo tunaziita akili mgando! kwa hiyo kwako ubora ni majengo? kama ni hivyo basi Somalia nayo ni bora zaidi na isingefutiwa deni la UN!!! kweli mabwege mmesomea...

huyu jamaa aliye-like hii post yako mpaka sasa hajui tofauti ya Gigawatti na megawatt, huo ndio mfano wa akili mgando!
 
Mzee wa Gigawatti, sasa unataka kudai nini? kuwa vijiji vya Rwanda ni bora kuliko vijiji vya TZ?

Rwandans wait at a hospital in Kigali. Researchers said that the device delivered test results displayed on the phone screen within 15 minutes and performed almost as well as the ELISA test.

US and Rwandan researchers said Wednesday they have developed a low-cost smartphone accessory that can detect HIV and syphilis from a finger prick of blood in just 15 minutes.

This is the first device that replicates all the functions of a lab-based blood test, and it works by detecting markers of the infectious diseases: HIV antibody, treponemal-specific antibody for syphilis, and non-treponemal antibody for active syphilis infection.

The manufacturing cost of the device is only US$34, much lower than the US$18,000 that current gold standard of diagnostics, known as the enzyme-linked immunosorbent assay (ELISA), needs.

The accessory was recently piloted by health care workers in Rwanda who used it to test blood finger-pricked from 96 patients, many of whom were women at risk for mother-to-child transmission of the sexually transmitted diseases. The health care workers were given only 30 minutes of training on the device.

The researchers said that the device delivered test results displayed on the phone screen within 15 minutes and performed almost as well as the ELISA test. Nearly all patients preferred it to lab-based tests, which could take up to two or more hours.

"Our work shows that a full laboratory-quality immunoassay can be run on a smartphone accessory," lead author Samuel Sia, associate professor of biomedical engineering at the Columbia University.

"This kind of capability can transform how health care services are delivered around the world," Sia said. The device, or dongle, can easily connect to a smartphone or computer. It is small and light enough to fit into one hand and draws all the power it needs to run by plugging into a smartphone's audio jack.

Researchers believed that this lab-on-a-chip device could help scale up early detection of HIV and syphilis, especially in mobile or field clinics.

"Our dongle presents new capabilities for a broad range of users, from health care providers to consumers," Sia said.

"By increasing detection of syphilis infections, we might be able to reduce deaths by 10-fold. And ...we might be able to scale up HIV testing at the community level with immediate antiretroviral therapy that could nearly stop HIV transmissions and approach elimination of this devastating disease," he added.

The work, also comprising researchers from Rwanda Biomedical Centre, was published in the US journal Science Translational Medicine.

Source:theeastafrican
 
kagame angejua namna ya kuwa inflict syphilis na ukimwi wahutu wote, angeshafanya muda mrefu manake anajua wahutu ni 80% watusi 14% na siku wakiamua kufanya revolution, patakuwa hapatoshi, au FDLR wakitia timu, hao 80% wote watawasapoti wahutu wenzao waliotoka msituni.
 
hizi ndizo tunaziita akili mgando! kwa hiyo kwako ubora ni majengo? kama ni hivyo basi Somalia nayo ni bora zaidi na isingefutiwa deni la UN!!! kweli mabwege mmesomea...
mnyarwanda hawezi kuniita mimi akili mgando, hadhi hiyo huna ya kumwita mtz, labda angekuwa mtu wa nchi nyingine. you are no bodies.
 
huyu jamaa aliye-like hii post yako mpaka sasa hajui tofauti ya Gigawatti na megawatt, huo ndio mfano wa akili mgando!
Hata ingekuwa watt, the point ilikuwa idadi yawaliofaidika.. by the way i am not the author of the story.
 
Rwanda kila kitu wanaweza,tanzania tunaweza ulevi,wizi,ufisadi tuu
 
And who are you? debe tupu
we are somebody, we hosted your tusi people since the revolution of the 1950s and 1994. we gave you place to sleep, plots to farm, education in our schools, toilets to shit in exchange of nothing. what has a Rwandan done to a Tanzanian since the creation of planet earth? just mention one!
 
Akijibu hii kitu naomba unibeep kiongozi.
 
Akijibu hii kitu naomba unibeep kiongozi.
hawezi kujibu hata siku moja. wao wenyewe si unaona wanavyoandika kiswahili kilichonyoooka, wametokea kwetu hapahapa, wamesoma shule zetu hizihizi walikuwa wanatia huruma hapahapa tukawahifadhi. to be frank, kabla ya mr. utter nonesense hajaitukana tz, nilikuwa nawapenda sana wanyarwanda hasa watusi kuliko majirani wote na nilikuwa napenda wangepata uraia tz.

tz imekuwa nchi ya kuwasaidia sana hawa majirani lakini wanasahau fadhila. unajua mwezi uliopita chikawe nilimwona anasimamia kupewa uraia wa warundi zaidi ya laki na nusu kuwa watz, mwaka jana pia. karibia warundi laki tano walishapata uraia wa tz. wanyarwanda pia wengi sana ukienda biharamuro, karagwe, muleba niseme kagera yote na kigoma, wengi sana sana na wanaishi kama watz, ila wakitoka tu wanaanza kuitukana tz kama huyo mbwiga.
 
Talkandtalk

hahahaha, are you sure ni Gigawatts au ni megawatts? maana watutsi kwa misifa tunawajua. baiskeli itaitwa pikipiki, corolla itaitwa benzi. Sijui sana mambo ya umeme ila hapo kwenye gigawatti bado kidoogo.
sana sana hizo ni 8.5MW, na kama ni MW basi nikufahamishe kuwa huku kwetu serikali haihangaiki na chini ya 10MW. Vimradi vidogo vidogo hivyo wameachiwa private sector ndio wanazalisha chini ya 10 MW chini ya mpango unaitwa small scale power... sijui nini nini....

cc: JustDoItNow nyumba kubwa Ngongo.
MOTOCHINI Kimweri mchambawima1

Hapo neno 'Gigawatt Global' ni jina la kampuni ya nishati. Gigawatt Global |

Rwanda wamepiga hatua sana kimaendelea, sisi Tanzania tutabaki tu tunakashifu 'majina' ya kampuni zinazoitwa Gigawatt..!!
 
Back
Top Bottom