hakuna tatizo lolote hapa, tz tumeweka hela hizo i li kitambulisho kiwe na ubora zaidi. kama hapo karibu nawe unaye raia wa kenya, mwambie akupe passport yake uone, passport ya kenya hawajascan picha kama ilivyo ya tz, ya kwetu ina ubora wa hali ya juu pamoja na kwwamba hata wasomali wanazo kwa sasa wanazozipata sio kwak ufoji bali kwa kuhonga rushwa kwa afisa uhamiaji. kama tulivyowapiga chini wakenya ktk passport, hata hii ya kitambulisho tutawapiga chiini east africa countries including rwanda, cha kwetu kitakuwa bora zaidi. kwa hili siilaumu selikali, na wala sipendi tuisumbue kwa hili, wasije wakapata hofu ya pressure toka kwa wananchi wakaboronga badala ya kutengeneza kwasababu ya kusikiliza ushauri wa kila mtu. nafikiri kwanza selikali yenyewe haisikilizi ushauri wa kutoka kwa kilamtu, si jui toka kwa bimkora, toka kwa pimbiii, toka kwa zena, sijui betina, ushauri wa kutulinganisha na rwanda huo weka kwenye box la taka, tuendelee na maisha.
Nadhani wapo kwa kiasi fulani NA VISION. Pamoja na mikorogano ktk uongozi lakini at the end of the day they GET THE JOB DONE. Nawapa hongera za dhati kwa KUPANGA MAMBO yao. Sisi tulie tu.Kufumba na kufumbua, these guys rwanda watatupita tukiwa tumesimama