Lambo jini
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 235
- 314
Wakati sisi bado tunakimbizana na mashine za kukusanyia ushuru na zile za kupigia chabo sms za wananchi.. nchi ndogo kama mkoa wa kigoma itarusha satillite yake ya kwanza.
Kuna faida lukuki kwenye ulimwengu wa tech kuwa na satillite..
Rwanda to launch satellite this year
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabisa. wapinzani ni kama mtu anayekata tawi la mti alilolikaliaSerikali ya Tanzania ikifanya uamuzi wa kurusha satelite nyie wenyewe ndo mtakuawa wa kwanza kuja hapa kupinga kwa nguvu zote.
Nyie watu ni zaidi ya wachawi kwa taifa hili.
Hapa kuna wapinzani wa hivyo mno!Rwanda wapinzani wanaelewa maendeleo yanayoletwa na serikali na wanaiunga mkono. Sisi wapinzani wanapinga kila kitu (isipokuwa- mheshimiwa Sugu!). Kama wapinzani wangeshilikiana na serikali tungekuwa tumeisha fika mwezini.
https://www.quora.com/What-is-the-advantage-of-launching-a-countrys-own-satelliteUkitupa hizo faida lukuki za kuwa na satellite kwenye ulimwengu wa tech kwa nchi masikini kama Rwanda ingekuwa vizuri ili na sisi watu wa tech tuchangie.
Cku iz iz kuna makakampuni binafsi wanasadia wanaweza ..mara nyingi iz satelite za mambo ya weither .ni za msaada tu....Ninataka kujua hiyo satellite itarushwa angani kutoka Kigali, Tokyo ama Kazakhstan?
Wamerusha ungoHao Rwanda kila siku wanarusha?! Warushe tu, sisi mpaka SG zetu zikamilike.
Kwanza huko juu kunawapiga kura?!
Hahaha kila baada ya muda kuna mtu ataleta habari hii humu, sijui wamesharusha ngapi?!Wamerusha ungo
Ruvuma hatukubali.. Wakajenge huko Dodoma.Sisi labda tuamue kujenga kinu cha nyuklia huko Ruvuma by 2050.
Hahaa mkikosa point za kujitetea ndio huwa mnaongea huu uharoShida ya Tanzania ata ingerushwa satellite mngeongea tu kwaio bora tuache mambo kama yalivyo
Sent using Jamii Forums mobile app